Mtazamo kuhusu maana ya pete iwapo kidoleni

Kwa hiyo kupaka hina lizama katika dini yenu mkuu?
Nimeweka ujumla wake kama Pete haina mana kwenye ndoa msemaji ameona Pete tu ndo yenye shida au kisa ni tendo LA dini moja mana uko kwingine nako yapo mambo je yapo kimausiano kati ya Wawili hao

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwani kabla haujaja utaratibu wa kuvaa pete tulikua tuna utaratibu upi mkuu
 
Urembo tu. Maana wavaaji wanaact kisingle single
 
Halafu wewe sini ustadhati ndio maana unaona Pete ni mzigo na nyie zile hina ambazo hua mnapaka zina ulazima kweli.
Hina ni pambo kwa mwanamke sas sijajua kam ile pete nayo ni pambo au vip ukinijuz itakuwa vizur kulik kunipopoa
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Kwani kabla haujaja utaratibu wa kuvaa pete tulikua tuna utaratibu upi mkuu
Utaratibu wa zamani ulikua tunavaa vibwaya majani mkuu sketi ndefu na nguo izi kaleta mzungu ambae nae kachukua utalatibu wa kuvaa vibwaya ambayo ameviweka kisasa kwa njia ya vitambaa Leo tunasema mini skate he nako kusema utaratibu wa zamani shekhe itakuaje so usishangae ya Pete chifu ndo dunia inavyokwenda ukienda India au China utaona mengine kwenye ndoa Pete imekushinda vua ndo uko pale pale usichukie ndo kisa Pete chifu ata gesti unaingia na Pete amna shida mbona

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hakauna hatamajibu hapa.
jamani pete zinatumika kama utambulisho..kwamba umeoa au umeolewa..na haivuliwi labda kuwe na sababu.
pete walichagua ivishwe kile kidole cha kabla ya cha mwisho kwa mkono wa kushoto.sababu kile kidole kuna mshipa unatoka moja kwa moja mpaka moyoni..kama huamini chukua kitu kama kijiti saaa hivi halafu fanya kama unachokonoa ndani ya kucha ya kile kidole uone utapata mtekenyo gani hadi kifuani pe kwenye moyo.
pete zimeamuliwa kuwa utambulisho..ila hata wakibadili utambulisho kwa kuwekwa alama usoni ili watu wajue huyu kaolewa au kuoa sio tatizo.
huu utambulisho unasaidia sana..eg wanaume wakiziona wanajua kashachukuliwa..hawatongozi cha mtu..labda wakware..

Zamani sana hapakuwepo pete. Wala hapakuwa na sababu ya kuwa na pete kwa kuwa 'ukware' walionao wanaume wa sasa wanaotongoza kila mwanamke anayepita mbele yao haukuwepo. Ndio maana mabinti wote walikuwa bikra wakati wanaolewa. Sasa ni muhimu kila mwanandoa kuvaa pete maana mtu anapovaa pete ya ndoa anaonyesha dunia kwamba ni mwanandoa na pili anathamini ndoa yake kiasi cha kuweza 'kutangaza hadharani' (kwa kuvaa hiyo pete ya ndoa). Wale wanaume/wanawake wanauvua pete za ndoa wakati wanachepuka wanakuwa 'wameshitakiwa' na dhamiri zao. Mtu asiyevaa pete ya ndoa kama hana tatizo la ngozi basi ana tatizo kwenye nafsi yake.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Na wanandoa wengine wakiwa wanachepuka huvua pete zao sijui kwa nini??

ila mi najua pete ni kama ishara ya maagano baina ya wawili
 
  • Thanks
Reactions: 30P
hakauna hatamajibu hapa.
jamani pete zinatumika kama utambulisho..kwamba umeoa au umeolewa..na haivuliwi labda kuwe na sababu.
pete walichagua ivishwe kile kidole cha kabla ya cha mwisho kwa mkono wa kushoto.sababu kile kidole kuna mshipa unatoka moja kwa moja mpaka moyoni..kama huamini chukua kitu kama kijiti saaa hivi halafu fanya kama unachokonoa ndani ya kucha ya kile kidole uone utapata mtekenyo gani hadi kifuani pe kwenye moyo.
pete zimeamuliwa kuwa utambulisho..ila hata wakibadili utambulisho kwa kuwekwa alama usoni ili watu wajue huyu kaolewa au kuoa sio tatizo.
huu utambulisho unasaidia sana..eg wanaume wakiziona wanajua kashachukuliwa..hawatongozi cha mtu..labda wakware..
Mhhhhhhhh!!!!!!!! kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom