Mtawala anayegombea hatapata - Askofu Lazaro

jamani watu waache kubishana wote Slaa na Kikwete ni watawala mmoja Mbunge mwingine ni Rais kwann watu wanajihisihisi kwamba ujumbe huu ni wa Kikwete?
 
Hili ndilo tunalolitegemea watanzania. Dr Slaa ni mkombozi wa nchii hii
 
Nampongeza Askofu Lazaro maana amethubutu kusema niliyoyaandika jana. Mungu asikii maombi yasiyokuwa katika utaratibu wake. Hivi unaweza kumwomba Mungu ili uzini? Sasa utaratibu wa Mungu ni kuchagua viongozi na siyo kumuomba akuchagulie kiongozi.... Tukachague Dr. slaa tarehe 31 octoba na hayo ndo mapenzi ya Mungu kuwa tuwe na Kiongozi tumpendaye( Nimpendae). Wanaompenda Kikwete nao wakamchague .... that is God of heaven.
 
Haa haa haa!! Hee hee! Mkuki kwa nguruwe ehe? 2005 waliposema Kikwete chaguo la Mungu hamkusema wanamsingizia Mungu!! Bwaa!!! Hayoooo!!!!
...CCM wanapaswa kusema NGURUWE pita leo sina mkuki
 
Habari hii si propaganda kama za CCM. Pengine ni mwendelezo wa uthubutu wa viongozi wa dini (hasa Wakristo) wanaoamua kusema ukweli kwamba hali ya mambo si shwari serikalini.

na serikali hii ambayo haivumilii kusemwa tofauti na inavyotaka, inawakemea utadhani hawapendi kabisa kusikia udini wakati wakitokea viongozi wengine wa dini wakiwasifia (kama Kulola) wananyamza na kuomba waheshimiwe. Hii ni kawaida kabisa ya serikali dhalimu.

Sasa habari hii si njema kwa CCM lakini habari ndiyo hiyo.

Jumapili iliyopita nilikuwa kanisani kwa Askofu Lazaro na kwa masikio yangu nilimsikia mzee huyu akiwaonya wakristo kutokupoteza muda kuomba mambo ambayo Mungu hatayasikia. Akisoma kitabu cha Amos 4:6 na kuendelea, Askofu Lazaro alisema wazi kwamba Mungu amemwambia ataitikisa serikali kwa namna ambayo haikupa kutokea!

Mtawala anayegombea sasa hivi, hatapata. Na kwamba Mungu amempa jina la mtu ambaye atakuwa Rais wa nchi hii (japo hakuwa tayari kumtaja kuepuka itakavyopokelewa na watu)!

Na dalili ziko wazi. Kila mwenye macho naona namna CCM kilivyoishiwa na kubaki kutengeneza propaganda zisizona miguu. Naanza kuamini kwamba ni kweli mtawala anayegombea hatapata.

Tungoje tarehe 31 Oktoba!
JF kuna kazi kweli kweli. Akisema Sheikh Yahya ni matusi kwenda mbele. Sasa na huyu naye tunamuweka wapi? Kwanini tunakubali haya ya sheikh Yahya tunapinga? Watafiti wakiweka takwimu zao, watu wanataka kutoana roho.
Binadam tuna hulka ya kupendelea matamanio ya nafsi zetu. Mara nyingi mtu atapenda kitokee kilichopo moyoni mwake. Kinachoweza kutuokoa katika hili ni objectivity tu. Km alivyotabiri Sheikh Yahya na huu wa askofu nao ni utabiri, kwahiyo hakuna jipya.
 
Hii ni vita kati ya HAKI na DHULUMA, vita kati ya MWANGA na GIZA, vita kati ya WENGI WANYONGE na WACHACHE MAFISADI... daima atakayesimama upande wa wa haki ataungwa mkono.
 
Slaaa anaweza anaweza iyo iyooo anaweza sanaaaaaaaaa
Huo wimbo huwa ninaupenda sana
 
HAPA hakuna ukweli wowote ila askofu anataka waaumini wampigie mgombea anaependa kwa kisingizio cha maono. Binafsi naona huyu askofu anajishushia heshima na kanisa lake, kwa kutumia jina la mungu wakati si kweli
 
Jumapili iliyopita nilikuwa kanisani kwa Askofu Lazaro na kwa masikio yangu nilimsikia mzee huyu akiwaonya wakristo kutokupoteza muda kuomba mambo ambayo Mungu hatayasikia. Akisoma kitabu cha Amos 4:6 na kuendelea, Askofu Lazaro alisema wazi kwamba Mungu amemwambia ataitikisa serikali kwa namna ambayo haikupa kutokea!

Mtawala anayegombea sasa hivi, hatapata. Na kwamba Mungu amempa jina la mtu ambaye atakuwa Rais wa nchi hii (japo hakuwa tayari kumtaja kuepuka itakavyopokelewa na watu)!
Amos 4:6 Also I gave you cleanness of teeth in all your cities, and lack of bread in all your places; yet you have not returned to Me," says the LORD.

This time around we will humbly return to you Oh LORD....................
 
HAPA hakuna ukweli wowote ila askofu anataka waaumini wampigie mgombea anaependa kwa kisingizio cha maono. Binafsi naona huyu askofu anajishushia heshima na kanisa lake, kwa kutumia jina la mungu wakati si kweli

Ulijuaje kuwa si kweli? au ni ukweli. Maona huwezi kutolea hukumu. Wewe timiza wajibu wako, kapige kura 31 Oct 2010
 
Haiwezi kuwa hivyo kama hutpiga kura God helps those who help themselves so play your part kampigie slaa kura your dream will come true.
Go slaa GoooooHHH.
 
HAPA hakuna ukweli wowote ila askofu anataka waaumini wampigie mgombea anaependa kwa kisingizio cha maono. Binafsi naona huyu askofu anajishushia heshima na kanisa lake, kwa kutumia jina la mungu wakati si kweli

Please us Mungu and not mungu. There is a huge difference between the two.

Mungu-Muumba Mbingu na nchi

mungu-si muumba mbingu na nchi mara nyingi hutumika kama shetani

Hilo ni angalizo tu mkuu, tuendelee.
 
Habari hii si propaganda kama za CCM. Pengine ni mwendelezo wa uthubutu wa viongozi wa dini (hasa Wakristo) wanaoamua kusema ukweli kwamba hali ya mambo si shwari serikalini.

na serikali hii ambayo haivumilii kusemwa tofauti na inavyotaka, inawakemea utadhani hawapendi kabisa kusikia udini wakati wakitokea viongozi wengine wa dini wakiwasifia (kama Kulola) wananyamza na kuomba waheshimiwe. Hii ni kawaida kabisa ya serikali dhalimu.

Sasa habari hii si njema kwa CCM lakini habari ndiyo hiyo.

Jumapili iliyopita nilikuwa kanisani kwa Askofu Lazaro na kwa masikio yangu nilimsikia mzee huyu akiwaonya wakristo kutokupoteza muda kuomba mambo ambayo Mungu hatayasikia. Akisoma kitabu cha Amos 4:6 na kuendelea, Askofu Lazaro alisema wazi kwamba Mungu amemwambia ataitikisa serikali kwa namna ambayo haikupa kutokea!

Mtawala anayegombea sasa hivi, hatapata. Na kwamba Mungu amempa jina la mtu ambaye atakuwa Rais wa nchi hii (japo hakuwa tayari kumtaja kuepuka itakavyopokelewa na watu)!

Na dalili ziko wazi. Kila mwenye macho naona namna CCM kilivyoishiwa na kubaki kutengeneza propaganda zisizona miguu. Naanza kuamini kwamba ni kweli mtawala anayegombea hatapata.

Tungoje tarehe 31 Oktoba!

Ujinga kama huu utazungumzwa makanisani ni wale kondoo waliopotea ndio wataamini pumba za kijinga kama hizi. Shame on you gays
 
JF kuna kazi kweli kweli. Akisema Sheikh Yahya ni matusi kwenda mbele. Sasa na huyu naye tunamuweka wapi? Kwanini tunakubali haya ya sheikh Yahya tunapinga? Watafiti wakiweka takwimu zao, watu wanataka kutoana roho.
Binadam tuna hulka ya kupendelea matamanio ya nafsi zetu. Mara nyingi mtu atapenda kitokee kilichopo moyoni mwake. Kinachoweza kutuokoa katika hili ni objectivity tu. Km alivyotabiri Sheikh Yahya na huu wa askofu nao ni utabiri, kwahiyo hakuna jipya
.

Sawasawa kabisa Mkuu..............heshima mbele
 
Baada ya tarehe 31 msisahau kuchukua matokeo yenu, na muendelee na mitazamo yenu hiyo hiyo atakayeshindwa akubali ngumi za uso sio kujikomba mpaka 2015
 
JF kuna kazi kweli kweli. Akisema Sheikh Yahya ni matusi kwenda mbele. Sasa na huyu naye tunamuweka wapi? Kwanini tunakubali haya ya sheikh Yahya tunapinga? Watafiti wakiweka takwimu zao, watu wanataka kutoana roho.
Binadam tuna hulka ya kupendelea matamanio ya nafsi zetu. Mara nyingi mtu atapenda kitokee kilichopo moyoni mwake. Kinachoweza kutuokoa katika hili ni objectivity tu. Km alivyotabiri Sheikh Yahya na huu wa askofu nao ni utabiri, kwahiyo hakuna jipya.
Sio sawa kabisa,kama ardhi na mbingu...However kama wewe ni muumini wa majini na mabo ya giza,then utabiri wa Sheick Yahya unakufaa. Pole sana unanuka uccm.
Ushauri wangu we mweke popote unapotaka lakini si kama sheick Yahya
 
Askofu Lazaro ni Askofu wa nini/madhehebu yapi? maneno kama haya ni ya upenzi zaidi na hayakupaswa kuongelewa na Askofu
haya ni maono au ndoto -
Mtawala anayegombea sasa hivi, hatapata. Na kwamba Mungu amempa jina la mtu ambaye atakuwa Rais wa nchi hii (japo hakuwa tayari kumtaja kuepuka itakavyopokelewa na watu)!
hata kakobe aliwahi kusema hivyo kuhusu Mrema

Let's wait and see ni wiki tu sasa
 
Askofu Lazaro ni Askofu wa nini/madhehebu yapi? maneno kama haya ni ya upenzi zaidi na hayakupaswa kuongelewa na Askofu
haya ni maono au ndoto -

hata kakobe aliwahi kusema hivyo kuhusu Mrema

Let's wait and see ni wiki tu sasa
Hakuna mahali amemtaja mgombea...Take your time na usome between the line na si kwa mapenzi yako binafsi.Kitendo cha kusema hatamtaja si sawa na kumtaja mgombea...Kucompare na Mrema kuhusu Kakobe ni irrelevant na alichosema Askofu Lazaro hakutaja jina la mgombea yeyote. Take your time when you read bila kukurupuka.
 
Back
Top Bottom