Mtawala anayegombea hatapata - Askofu Lazaro

Ujinga kama huu utazungumzwa makanisani ni wale kondoo waliopotea ndio wataamini pumba za kijinga kama hizi. Shame on you gays
I am ready to believe it was a slip of the finger and not intentional...:A S 39:
 
Jamani mbona Jongo yule shehe wa pale mjini kariakoo manyema mosque anasema mambo kibao tu kumkashifi OUR PRESIDENT DR. W.SLAA....ukweli ni kwamba GOOD BYE KIWETE and WELCOME SLAA......wale wa mambo ya computer wanaita FIFO....First In First Out...
 
Ujinga kama huu utazungumzwa makanisani ni wale kondoo waliopotea ndio wataamini pumba za kijinga kama hizi. Shame on you gays
Kwani lazima useme kiingereza hata kama hujui? Ona sasa unatukana watu. You should have said guys! Omba radhi! Shame on you for the bad word.
 
JF kuna kazi kweli kweli. Akisema Sheikh Yahya ni matusi kwenda mbele. Sasa na huyu naye tunamuweka wapi? Kwanini tunakubali haya ya sheikh Yahya tunapinga? Watafiti wakiweka takwimu zao, watu wanataka kutoana roho.
Binadam tuna hulka ya kupendelea matamanio ya nafsi zetu. Mara nyingi mtu atapenda kitokee kilichopo moyoni mwake. Kinachoweza kutuokoa katika hili ni objectivity tu. Km alivyotabiri Sheikh Yahya na huu wa askofu nao ni utabiri, kwahiyo hakuna jipya.


Ni kweli kabisa hali ya JK sio nzuri, na asijaribu kuchakachua maana Tutamzika.....
acheni Mungu afanye kazi yake.... Haya ni maono yangu... zaburi 64: 3-8
 
Acheni blablaa. nendeni mkapige kura......wengine hata kadi za kupigia kura hamjui ziliko...shame on you wewe uliyejiandikisha na hutaenda kituoni jumapili
 
Back
Top Bottom