UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,320
Teh teh mkuu ina maana kwa kuona mbali kwa macho mtu anakatiza zake basi Abdalah kichwa wazi lazima aamke ?? Mimi nikiwa kwenye daladala ni suna ila sio kwa kuona kwa mbali sijui barabaraniNipo mkuu..Mambo mengi tu..Kuna kipindi nilichezea ban
Mi nahisia za karibu aisee..Lakini mara nyingi jeans zinaniokoa
Dah pole kwa ban