Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
- #181
Sifa ipi hyo mdauHii sasa sifa!!!!!
Sifa ipi hyo mdauHii sasa sifa!!!!!
Ee mana hamna namna sasaDuu kwa hyo tutavuana..Kweli haki sawa mmeifikia
Kwa hiyo wasio vaa chupi wanatangaza biashara?
Daddy ulifanya nini hadi ukapigwa ban?Nipo mkuu..Mambo mengi tu..Kuna kipindi nilichezea ban
Mi nahisia za karibu aisee..Lakini mara nyingi jeans zinaniokoa
Nimekusalute!!Ee mana hamna namna sasa
Wanasema nilimtukana Lulu..Nikashangaa..Mana hii keyboard yangu mpya wala haitype matusiDaddy ulifanya nini hadi ukapigwa ban?
Mkuu angalau umetupia picha mana wadau walitaka kuona..Walujua ni story tuKipochi chote nje...pathetic!!!
![]()
Kipochi manyoya kile alfu kimepigwa wax sio mambo ya viwempeKipochi chote nje...pathetic!!!
![]()
Khaaa mbona tungejua na bi mkubwa tungeweka mgomo kwa modes #bringbackourdaddy#, pole mwaegoWanasema nilimtukana Lulu..Nikashangaa..Mana hii keyboard yangu mpya wala haitype matusi
Thanks..Niliogopa mtachezea virungu..Nikaona nisiwape taarifa..Khaaa mbona tungejua na bi mkubwa tungeweka mgomo kwa modes #bringbackourdaddy#, pole mwaego
Teh teh...Huyu alifanyiwa surgery ama?Lakini sio kwetu tu hata huko nje..
View attachment 332749
Sawa tumekusoma mdauNi hiviiii....Kama una hela unamwita tu na kama huna basi funga macho,au angalia pembeni au ukishindwa kabisa chezea chezea smartphone yako.
Kumbe ww ni baba swalehe[emoji53]Kwa kweli wanatupa tabu sana mabalabarani..
kipapa kimepaukaKipochi chote nje...pathetic!!!
![]()