Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Neema za allah hizo Chief,ila kusema kweli siku hizi wamezidi unakutana na mdada kafungashia mzigo wa maana afu unakuta umeshika nae bomba kwenye daladala sasa akikuegemea unakuwa hoi maeneooo....Mtatuua jamani!!!!
 
Nikweli mkuu zaman kumwona mwanamke ni mpaka umuoe ndio uone sehemu zake zikoje ila kwa sasa hata unajilinda na kujizuia ila utaona tu bila shurut tutaishia kula pweza tu na mihogo mibichi kuongeza nguvu mpaka imekuwa kawaida sasa kuona manyonyo na mitako yao
Wanafanya makusudi mkuu..Ila dawa yao inachemka
 
Wanawake wa ajabu sana. Ikitokea watu wengi wana muangalia mdada namna alivyo tokelezea. Wanawake eneo hilo watachukia!!
 
f208037ae3f3f82d17ff8bcb5e0917a1.jpg

Haya sasa
Keleuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwi! [emoji39]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom