Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Kitendo cha mtatiro kugombea ubungo kimeudhi wengi tukiwemo wanaharakati wenzie tuliokuwa naye pale chuo.kwani hukuwepo wakati mnyika anaibiwa ushindi na keenja? Sasa nawe umeweka ili utawanye kura na ccm ishinde? Aibu kwako. Bahati nzuri bado pamoja na uchuro wenu,bado MNYIKA anaonekana kuwafunika.jirekebishe usijekuwa kuwa kama bosi wako prof.