mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,837
Kuiangamiza cuf?kwa lipi labda?
Kumekuwa na habari zinazunguka kuwa Mtatiro ni 'kirusi' kilichopandikizwa na Chadema kuiangamiza CUF, hoja zifuatazo zimkuwa zinasapoti dhana hiyo;
Mtatiro alikuwa na akina Mnyika katika vuguvugu la chadema wakiwa wanafunzi UDSM kabla Mnyika hajadisco (BBA), ila Mtatiro akapandikizwa CUF na ghafla kwa kutumia 'mamluki wenge waliokuwa CUF akina Lwakatare (mbunge wa sasa bukoba,Chadema) aliwezeshwa kuukwaa unaibu katibu mkuu bara japo baada ya nyendo zake kugundulika waiamua 'kumpiga chini' kimya kimya.
Maalim Seif katika kutoelewana na Prof.Lipumba akina Mbowe et al kupitia iliyokuwa ukawa wakampenyeza Mtatiro awe Mwenyekiti wa muda, lakini inasemekana Seif na kundi lake pia baada ya kuchekecha wamemweka kando ndugu Mtatiro na ndio maana kwa sasa Seif akiita kikao na waandishi wa habari Mtatiro hashirikishwi na hatajwi kama 'mwenyekiti wa muda', habari zilizopo ni kuwa alitumbuliwa kimya kimya na kikao cha siri kilichofanyika huko Vuga,Unguja.
Inaonekana kila ukikaa unamuota lipumbaUmesahau kutuambia kwa Lipumba ni kirusi cha wapi?
KirusiNa Lipumba Kirus cha CCM
hongera mkuu kwa kutujulisha kua mnyika alidisko UDSM,mwaka gani huo?Kumekuwa na habari zinazunguka kuwa Mtatiro ni 'kirusi' kilichopandikizwa na Chadema kuiangamiza CUF, hoja zifuatazo zimkuwa zinasapoti dhana hiyo;
Mtatiro alikuwa na akina Mnyika katika vuguvugu la chadema wakiwa wanafunzi UDSM kabla Mnyika hajadisco (BBA), ila Mtatiro akapandikizwa CUF na ghafla kwa kutumia 'mamluki wenge waliokuwa CUF akina Lwakatare (mbunge wa sasa bukoba,Chadema) aliwezeshwa kuukwaa unaibu katibu mkuu bara japo baada ya nyendo zake kugundulika waiamua 'kumpiga chini' kimya kimya.
Maalim Seif katika kutoelewana na Prof.Lipumba akina Mbowe et al kupitia iliyokuwa ukawa wakampenyeza Mtatiro awe Mwenyekiti wa muda, lakini inasemekana Seif na kundi lake pia baada ya kuchekecha wamemweka kando ndugu Mtatiro na ndio maana kwa sasa Seif akiita kikao na waandishi wa habari Mtatiro hashirikishwi na hatajwi kama 'mwenyekiti wa muda', habari zilizopo ni kuwa alitumbuliwa kimya kimya na kikao cha siri kilichofanyika huko Vuga,Unguja.
Duh! Hii kweli inaitwa Isidingo the needKumekuwa na habari zinazunguka kuwa Mtatiro ni 'kirusi' kilichopandikizwa na Chadema kuiangamiza CUF, hoja zifuatazo zimkuwa zinasapoti dhana hiyo;
Mtatiro alikuwa na akina Mnyika katika vuguvugu la chadema wakiwa wanafunzi UDSM kabla Mnyika hajadisco (BBA), ila Mtatiro akapandikizwa CUF na ghafla kwa kutumia 'mamluki wenge waliokuwa CUF akina Lwakatare (mbunge wa sasa bukoba,Chadema) aliwezeshwa kuukwaa unaibu katibu mkuu bara japo baada ya nyendo zake kugundulika waiamua 'kumpiga chini' kimya kimya.
Maalim Seif katika kutoelewana na Prof.Lipumba akina Mbowe et al kupitia iliyokuwa ukawa wakampenyeza Mtatiro awe Mwenyekiti wa muda, lakini inasemekana Seif na kundi lake pia baada ya kuchekecha wamemweka kando ndugu Mtatiro na ndio maana kwa sasa Seif akiita kikao na waandishi wa habari Mtatiro hashirikishwi na hatajwi kama 'mwenyekiti wa muda', habari zilizopo ni kuwa alitumbuliwa kimya kimya na kikao cha siri kilichofanyika huko Vuga,Unguja.
Una kigezo gani cha kupima imani za wanasiasa ?!Mkuu hapo unageuza hoja, tujadli hili la Mtatiro kwanza.
Wengi wamekwishawapuuza hawa makanjanja, muda wote huwazia mizigo ya matumbo yao. Mpotezee tu mkuu.Mleta mada ni mnafiki wa kiwango cha uprofessa ! Hivi CDM ni kirusi kwa CUF kuliko CCM ilivyo haini kwa vyama vya upinzani kweli ?!
Ccm imeidhulumu Cuf madaraka ya wazi kule Zanzibar halafu leo mjifiche kwenye chaka la uadilifu na kuiita CDM kirusi !?.