Mtatiro ni kirusi cha CHADEMA ndani ya CUF? Viashiria vyawekwa hadharani

Kumekuwa na habari zinazunguka kuwa Mtatiro ni 'kirusi' kilichopandikizwa na Chadema kuiangamiza CUF, hoja zifuatazo zimkuwa zinasapoti dhana hiyo;

Mtatiro alikuwa na akina Mnyika katika vuguvugu la chadema wakiwa wanafunzi UDSM kabla Mnyika hajadisco (BBA), ila Mtatiro akapandikizwa CUF na ghafla kwa kutumia 'mamluki wenge waliokuwa CUF akina Lwakatare (mbunge wa sasa bukoba,Chadema) aliwezeshwa kuukwaa unaibu katibu mkuu bara japo baada ya nyendo zake kugundulika waiamua 'kumpiga chini' kimya kimya.

Maalim Seif katika kutoelewana na Prof.Lipumba akina Mbowe et al kupitia iliyokuwa ukawa wakampenyeza Mtatiro awe Mwenyekiti wa muda, lakini inasemekana Seif na kundi lake pia baada ya kuchekecha wamemweka kando ndugu Mtatiro na ndio maana kwa sasa Seif akiita kikao na waandishi wa habari Mtatiro hashirikishwi na hatajwi kama 'mwenyekiti wa muda', habari zilizopo ni kuwa alitumbuliwa kimya kimya na kikao cha siri kilichofanyika huko Vuga,Unguja.
SASA BAADA YA WEWE KUFURAHI SABABU CCM HAMTASUMBURIWA UNAONGEA UMBEA..BASI LIPUMBA NI KIRUSI NDANI YA CCM. MAANA BILA KUMLINDA ANGEKWISHA ANGUKA KISIASA
 
Back
Top Bottom