Tatizo gani?Mkuu hapo unageuza hoja, tujadli hili la Mtatiro kwanza.
Tatizo gani?Mkuu hapo unageuza hoja, tujadli hili la Mtatiro kwanza.
Waluofata Green pasture ni kina Prof Lpumba, hukumuoana kule ikulu.Wanafki kama nyie mnawazia matumbo tu.Mtatiro anatafuta GREEN PASTURE kwa Lowassa , unachezea njaa.
Ukiwa huna cha kusema, sio lazima kuongea chochote humu, hufungwi kukaa kimya kama hauna lolote. Hilo povu linalokutoka pengine nalo ni kirusiKumekuwa na habari zinazunguka kuwa Mtatiro ni 'kirusi' kilichopandikizwa na Chadema kuiangamiza CUF, hoja zifuatazo zimkuwa zinasapoti dhana hiyo;
Mtatiro alikuwa na akina Mnyika katika vuguvugu la chadema wakiwa wanafunzi UDSM kabla Mnyika hajadisco (BBA), ila Mtatiro akapandikizwa CUF na ghafla kwa kutumia 'mamluki wenge waliokuwa CUF akina Lwakatare (mbunge wa sasa bukoba,Chadema) aliwezeshwa kuukwaa unaibu katibu mkuu bara japo baada ya nyendo zake kugundulika waiamua 'kumpiga chini' kimya kimya.
Maalim Seif katika kutoelewana na Prof.Lipumba akina Mbowe et al kupitia iliyokuwa ukawa wakampenyeza Mtatiro awe Mwenyekiti wa muda, lakini inasemekana Seif na kundi lake pia baada ya kuchekecha wamemweka kando ndugu Mtatiro na ndio maana kwa sasa Seif akiita kikao na waandishi wa habari Mtatiro hashirikishwi na hatajwi kama 'mwenyekiti wa muda', habari zilizopo ni kuwa alitumbuliwa kimya kimya na kikao cha siri kilichofanyika huko Vuga,Unguja.
Kijana povu unatoa wewe mimi nimeweka viashiria tu.Ukiwa huna cha kusema, sio lazima kuongea chochote humu, hufungwi kukaa kimya kama hauna lolote. Hilo povu linalokutoka pengine nalo ni kirusi
Pinga kwa hoja na sio kwa hisia dogo.Mleta uzi huwa anatoa simulizi za vijiweni, ni kawaida yake; hana uthibitisho/vielelezo.
Dahmleta mada huna hoja hao wote nilikua nao udsm akiwemo mwita mwikabwe...kwanza udsm wapiganaji wengi either wanakua chadema au ccm kwa mfano mwita mwikabwe alikua ccm toka chuo ila baada ya kuona kule hawezi pata nafasi yeyote akaamua kwenda chadema...mtatiro nae alikua mpiganaji chuoni na hakua chadema .......mtatiro huyo huyo alikua na wafuasi wakubwa chuo kikuu ndio maana aliamua kugombea ubunge kupitia cuf kushindana na mnyika ambae nae alikua hapo udsm...so far siasa za chuo hazi reflect sana siasa zetu huku mtaani mara nyingi tukishaingia mtaani tunaangalia oportunity iko wapi ...wapo makada ambao toka chuo wao ni makada wa chama flani kwa mfano silinde, owawa na nasary hawa walijulikana wazi ni makada wa chadema kwenye harakati zetu udsm na kama unakumbuka kuna uchaguzi uliwai futwa kisa mgombea urais alikua odong odwaaa na huyu alikua mganda lakini nyuma yake lilikuwepo kundi kubwa la makada wa chadema akina nasary na silinde na alikua anaelekea kushinda siku ya uchaguzi wahusika wote wameingia mitini tukakuta katangazo kuwa uchaguzi umefutwa.........siasa za chuo zikifika mtaani watu wanaangalia oportunity iko wapiiiii
Tangu lini ukaionea CUF huruma wewe ?!malengo ya chadema ni kuiuwa Cuf.
kuna ubaya gani nikikemea ubakaji wa demokrasia unaofanywa na chadema dhidi ya CUF?Tangu lini ukaionea CUF huruma wewe ?!
Tunajua hili. Nikishaandika andiko humu kuhusu hili.malengo ya chadema ni kuiuwa Cuf.
Hawataki kusikia hili,kwani mpango wao utagundulika.Tunajua hili. Nikishaandika andiko humu kuhusu hili.
Hoja ndio hujibiwa kwa hoja na sio upuuzi unaozusha kila siku. Hii inadhibitisha hata waliokupa nafasi ya VITU maalum kuna jambo lingine walizingatia na sio hoja maana huna
uko nje ya mada,huyo unayemuita kaka ni binti.Kaka viti maalumu vya ccm havizingatii kujenga hoja