Mtatiro ni kirusi cha CHADEMA ndani ya CUF? Viashiria vyawekwa hadharani


W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,663
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,663 2,000
Kumekuwa na habari zinazunguka kuwa Mtatiro ni 'kirusi' kilichopandikizwa na Chadema kuiangamiza CUF, hoja zifuatazo zimkuwa zinasapoti dhana hiyo;

Mtatiro alikuwa na akina Mnyika katika vuguvugu la chadema wakiwa wanafunzi UDSM kabla Mnyika hajadisco (BBA), ila Mtatiro akapandikizwa CUF na ghafla kwa kutumia 'mamluki wenge waliokuwa CUF akina Lwakatare (mbunge wa sasa bukoba,Chadema) aliwezeshwa kuukwaa unaibu katibu mkuu bara japo baada ya nyendo zake kugundulika waiamua 'kumpiga chini' kimya kimya.

Maalim Seif katika kutoelewana na Prof.Lipumba akina Mbowe et al kupitia iliyokuwa ukawa wakampenyeza Mtatiro awe Mwenyekiti wa muda, lakini inasemekana Seif na kundi lake pia baada ya kuchekecha wamemweka kando ndugu Mtatiro na ndio maana kwa sasa Seif akiita kikao na waandishi wa habari Mtatiro hashirikishwi na hatajwi kama 'mwenyekiti wa muda', habari zilizopo ni kuwa alitumbuliwa kimya kimya na kikao cha siri kilichofanyika huko Vuga,Unguja.

Kwa wale wenye upeo wa kuona mbali ni lazima mtagundua ya kwamba aliyewahi kuwa mgombea wa CUF kupitia jimbo la Segerea ndugu Julius Mtatiro ni lazima mtagundua Mtatiro inawezekana akawa ni agent wa CHADEMA mwenye lengo la kuimaliza CUF bara .

Ikumbukwe ya kwamba CHADEMA tunavyozungumza hadi sasa hawamkubali na hawamtambui profesa Ibrahim Lipumba kama mwenyekiti wa CUF bara lakini wao wanamkubali sana JULIUS MTATIRO akiwa kama mwenyekiti wa CUF kwa sasa.

Ikumbukwe ya kwamba katika mwaka 2015 katika jimbo la Segerea MTATIRO akiwa kama mgombea wa ubunge kupitia ukawa alishidwa ubunge baada ya CHADEMA kumwekea mgombea hadi kupelekea kura zikagawanyika kati ya CUF na CHADEMA hatimaye CCM kuchukua jimbo . Wakati hayo yakitokea wana CUF jimbo la Segerea waliweza kuwatupia lawama uongozi wa CHADEMA jimbo la Segerea kwa kuwanyima ushindi CUF.

Lakini cha kushangaza zaidi mtu huyo huyo aliyemnyima Mtatiro ushindi alikuja kuteuliwa viti maalumu hali lakini cha kushangaza zaidi Mtatiro kupitia ukurasa wake wa fb aliweza kutoa pongezi kwa Anatropia kupewa viti maalumu wakati amemkosesha ushindi wa ubunge

Lakini baada hayo yote kutokea siku ya ujio wa Lipumba ndani ya chama Mtatiro amekuwa mstari wa mbele akiungana na CHADEMA kumpinga Lipumba kama mwenyekiti huku akiungana na wafuasi wa chadema kupinga uwepo Lipumba

Mbaya zaidi hata baada ya uchaguzi mdogo wa udiwani kumalizika Mtatiro amekuwa mstari wa mbele kuwatetea CHADEMA ya kwamba akiwa na hoja za kumtupia lawama profesa Lipumba amewanyima ushindi CHADEMA kwa kuweka wagombea wa CUF ambao waligawa kura huku yeye akisahau ni nini kilitokea jimbo la Segerea upande wake 2015.

Huyu ndo mtatiro ambae leo hii anataka kubeba mikoba ya uenyekiti wa chama huku akifanya kazi ya kuimaliza CUF.

Jee ni kweli Mtatiro ni agent wa CHADEMA anaefanya kazi kwa mgongo wa CUF
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,164
Points
2,000
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,164 2,000
Tamthilia ya CUF haina dalili za kuisha kesho wala keshokutwa.
 
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
4,861
Points
2,000
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
4,861 2,000
Na Lipumba Kirus cha CCM
 
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,016
Points
2,000
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,016 2,000
Hoja ikizunguka (gossip/rumour)sana yaweza zua kizunguzungu.Utafutwe ukweli ili hata mleta uzi usionekane mzushi tu!
 
J

jijayetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Messages
722
Points
1,000
J

jijayetu

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2016
722 1,000
Ngoja aje mwenyewe
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,794
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,794 2,000
Jenga hoja na sio kubwabwaja kwa ramli.
Hoja ndio hujibiwa kwa hoja na sio upuuzi unaozusha kila siku. Hii inadhibitisha hata waliokupa nafasi ya VITU maalum kuna jambo lingine walizingatia na sio hoja maana huna
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
10,622
Points
2,000
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
10,622 2,000
Mleta mada ni mnafiki wa kiwango cha uprofessa ! Hivi CDM ni kirusi kwa CUF kuliko CCM ilivyo haini kwa vyama vya upinzani kweli ?!

Ccm imeidhulumu Cuf madaraka ya wazi kule Zanzibar halafu leo mjifiche kwenye chaka la uadilifu na kuiita CDM kirusi !?.
 
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Messages
9,797
Points
2,000
Age
36
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2014
9,797 2,000
Mtatiro anatafuta GREEN PASTURE kwa Lowassa , unachezea njaa.
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,663
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,663 2,000
Hoja ndio hujibiwa kwa hoja na sio upuuzi unaozusha kila siku. Hii inadhibitisha hata waliokupa nafasi ya VITU maalum kuna jambo lingine walizingatia na sio hoja maana huna
Sasa badala ya kujenga hoja wewe unabweka bweka na kulia itakuwa ngumu kueleweka. Jikite kwenye mada.
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,663
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,663 2,000
huu ni uchochezi mod haya mambo ni uchochezi ni sawa na kuandika Bashe ni kirusi cha lowassa mdani ya ccm.swissme
usibweke,jikite kwenye hoja.
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,644
Points
2,000
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,644 2,000
Maneno ya Kinafiki na ngonjera zisozo na tija..
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,663
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,663 2,000
Maneno ya Kinafiki na ngonjera zisozo na tija...dume zima mipasho kedekede
mipasho unatoa wewe. Kama huna hoja usibwebweke hovyo.
 
mattargsm

mattargsm

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Messages
394
Points
250
Age
49
mattargsm

mattargsm

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2016
394 250
angalau kuwa kirusi cha chadema kuliko chenge kuwa cha CCM maana chadema na cuf malengo Yao yafanana na wote wapinzani ya elekeaa toka udogoni kwako ulikuwa sio mdogo kwa fitna
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,663
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,663 2,000
Mleta mada ni mnafiki wa kiwango cha uprofessa ! Hivi CDM ni kirusi kwa CUF kuliko CCM ilivyo haini kwa vyama vya upinzani kweli ?!

Ccm imeidhulumu Cuf madaraka ya wazi kule Zanzibar halafu leo mjifiche kwenye chaka la uadilifu na kuiita CDM kirusi !?.
Mkuu hapo unageuza hoja, tujadli hili la Mtatiro kwanza.
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
11,663
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
11,663 2,000
angalau kuwa kirusi cha chadema kuliko chenge kuwa cha CCM maana chadema na cuf malengo Yao yafanana na wote wapinzani ya elekeaa toka udogoni kwako ulikuwa sio mdogo kwa fitna
malengo ya chadema ni kuiuwa Cuf.
 
ostrichegg

ostrichegg

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
6,781
Points
2,000
ostrichegg

ostrichegg

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
6,781 2,000
Hoja ikizunguka (gossip/rumour)sana yaweza zua kizunguzungu.Utafutwe ukweli ili hata mleta uzi usionekane mzushi tu!
Mleta uzi huwa anatoa simulizi za vijiweni, ni kawaida yake; hana uthibitisho/vielelezo.
 

Forum statistics

Threads 1,286,039
Members 494,871
Posts 30,882,868
Top