Mtatiro kamleta mtoto wake, Seif je?

Ungefupisha story kwa kumtaja mke wa seif ni nani na kama wamejaliwa watoto au hawana. Mbona wake wa Bilali tunawaona au hata wa Shein. Komandoo Salmin mke pia alijulikana, Seif na Lipumba wamekuwa kwenye siasa za nchi hii muda mrefu, wake zao au hata watoto zao wanahaki ya ku go public

nilipo-google nimeona hizi


Redirect Notice

Redirect Notice

CUF women eye for women president - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education

SUFIANI MAFOTO: *MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA MAENDELEO YA WANAWAKE ZANZIBAR (COWPZ)

Tunaisaidia serikali |

Maalim Seif Sharif Hamad

MICHUZI: Journey to the State House: The Life of Seif Shariff Hamad
 
Hivi ni kweli dr slaa alifukuzwa upadri au ni propaganda za adui tu?
Alistaafu. Aliomba kwa baba mtakatifu kama kanuni zinavyotaka na Papa alikubali ombi hilo la kustaafu kwake. Aliomba mwenyewe kustaafu. Ilikuwa ni uchaguzi/uamuzi wake. Kwa hiyo hakustaafishwa wala kufukuzwa. Kanuni za kanisa zinaruhusu kiongozi kustaafu.

Dr. Slaa alishawahi kufafanua hili hapa JF, search JF threads.

Wakati wa kampeni Dr. Alitupiwa tuhuma nyingi ikiwemo ubadhirifu wa fedha na haya ya kufukuzwa upadri nk. Siasa mchezo mchafu..kuchafuana imekuwa ni moja ya kanuni ya kujitafutia ushindi bila jasho kwa wale wasio na hoja zenye nguvu.
 
Like father Like Son

1369041_orig.jpg
 
Back
Top Bottom