Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,629
- 5,347
dk slaaa chake kingaaaa bado
mbona wewe mwehu sikuelewi ulichopost!
dk slaaa chake kingaaaa bado
Huyu siyo mwehu ila ni CCM/CUf, marais wao wote Jk na Seif hawajakemea Ushogambona wewe mwehu sikuelewi ulichopost!
Yeye ni mpakuaji mzuri sana tena wa miaka mingi ndio safari za kwenda kutubu macca hazimwishi,hata sasa hivi huu ukaribu wake na jussa ambae ni mtoto wa kiunguja unawatia mashaka wanaomjua seif asivyowaamini watu wasiokua wapemba hasa waunguja,lakini hali imekua ni tofauti sana kwa jussa,analosema jussa seif halipingi,ndio mana kina rostam kwa kuujua udhaifu wa seif kwa jussa wakafanya urafiki na jussa ili iwe rais kumuingia seif ambae huwa haingiliki kirahisi na watu wa baraIna maana naye Maalim Seif anapakuliwa kama kina Mbatia wa NCCR?
Umejuaje?Yeye ni mpakuaji mzuri sana tena wa miaka mingi
mtatiro awe makini sana na maalim..jamaa mende wa muda mrefu aisee!kamwe hamtokuja muona "mkewe" hadharani japo yupo nae kila siku tena machachari huwezi aminiUlishawahi kumuona mke wa lipumba kwenye kampeni akimsaidia mmewe yaani hawa cuf wanacameruniana
Umejuaje?
Kaulizie intelijensia yako kuhusu mtoto wake wa kike aliyezaa na mngazija, amekulia chang'ombe uhindini.Kupitia taarifa za kiintelijensia.....!
Kaulizie intelijensia yako kuhusu mtoto wake wa kike aliyezaa na mngazija, amekulia chang'ombe uhindini.
Okay, sahani!unachanganya mambo mzee,kwani kuna pahala popote nilipoandika kuwa hana mtoto?
msiongee vitu msivyokua na uhakika navyo maalim seif ana mke changien vitu vyamaana
lakini umende pale pale!hebu tuwekee japo picha basi ambayo yuko na mkewe kama weanzake kina shein,karume,bilal n.k. wake zao tunawaona nao.....
na we wekapicha akifanya umende
Miaka ya Nyuma pale StarLight hotel kuna kumbukumbu nzuri kuhusu wale watu watatu...Seif anajua alivyo okolewa
Ungefupisha story kwa kumtaja mke wa seif ni nani na kama wamejaliwa watoto au hawana. Mbona wake wa Bilali tunawaona au hata wa Shein. Komandoo Salmin mke pia alijulikana, Seif na Lipumba wamekuwa kwenye siasa za nchi hii muda mrefu, wake zao au hata watoto zao wanahaki ya ku go publicwe ushawhi kumuona mke wa mboe,mtei au mzee makani au wa mzee john cheyo, we unafkir hat jk.nyerere alikuwa anmtanguliza mkewe kila sehem?kwa uzoef wangu nyie wenye tabia ya kuuliza wake wa wanaume wenzen huwa mna tabia ya kukamata ukuta kwa viganja vya mikono yenu!
hahahaaaa, mchumba,mchumba,mchumba, ndio maana upadri akafukuzwa