Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007,
Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa kumpa Mtatiro jimbo la Segerea kama wanataka kulipata hili jimbo kiulaini na kiurahisi sana.
Binafsi sijawahi kukutana na Mtatiro face to face na wala hanijui namfaha kama mwanasiasa makini mwelewa na mwenye upeo naweza kusema ni mojawapo ya mwanasiasa mkubwa sana hapa Tanzania na mwenye future nzuri.
Huyu jamaa kama kuna mtu ambaye anamfuatilia hawezi kupingana na mimi. Jamaa hana kinyongo na ni mwanasiasa makini asiye na tamaa ya madaraka.
viongozibwa ukawa huu ni ushauri wangu binafsi na wala sijatumwa na mtu.
Kama tunalitaka hili jimbo kiulaini lazima lipewe CUF na Mtatiro mwanasiasa makini asiye na makuu lazima ataleta changamoto kubwa sana Jimboni hadi bungeni.
Nina uhakika hata akipewa uwaziri atasimamia wananchi na rasilimali za nchi kwa matakwa ya wananchi.
go Mtatiro!! Jimbo ni la kwako.
SAINT IVUGA.
JF.