Mtatiro for Segerea, UKAWA zingatieni hili

Mtatiro aende temekevhuku segerea wabaki chadema.
 
Binafsi napendekeza Mtatiro asimamishwe jimbo la uchaguzi la Temeke. Sababu ni kuwa CUF ina wanachama na mashabiki wengi ktk jimbo hilo na hata uchaguzi wa serikali za mitaa CUF walifanya vema Temeke.

Kura ni za CUF au za UKAWA?
 
Mimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007,
Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa kumpa Mtatiro jimbo la Segerea kama wanataka kulipata hili jimbo kiulaini na kiurahisi sana.
Binafsi sijawahi kukutana na Mtatiro face to face na wala hanijui namfaha kama mwanasiasa makini mwelewa na mwenye upeo naweza kusema ni mojawapo ya mwanasiasa mkubwa sana hapa Tanzania na mwenye future nzuri.
Huyu jamaa kama kuna mtu ambaye anamfuatilia hawezi kupingana na mimi. Jamaa hana kinyongo na ni mwanasiasa makini asiye na tamaa ya madaraka.
viongozibwa ukawa huu ni ushauri wangu binafsi na wala sijatumwa na mtu.
Kama tunalitaka hili jimbo kiulaini lazima lipewe CUF na Mtatiro mwanasiasa makini asiye na makuu lazima ataleta changamoto kubwa sana Jimboni hadi bungeni.
Nina uhakika hata akipewa uwaziri atasimamia wananchi na rasilimali za nchi kwa matakwa ya wananchi.
go Mtatiro!! Jimbo ni la kwako.
SAINT IVUGA.
JF.

Mwambie ahamie Chadema kama babu Duni. Kanuni zinaruhusu, maana Jimbo hilo ni la CDM (Mpendazoe alishakata mapori 2010)
 
sie watu wa Segerea tumeishaamua, tunakwenda na Mwanadada Bonnah Kaluwa mgombea wa CCM jimbo la Segerea
10483412_301281420080257_568131787_n.jpg

unnamed+(27).jpg

26.jpg

Kama unabisha muulize kapi Makongoro Mahanga, huyu binti ni jembe.
 
HATATOA AHADI TU KAMA WENGINE, HUYU MUDA WOTE ANAJISHUGHULISHA NA UTUMISHI KWA UMMA
10958623_1553962684880446_1010019039_n.jpg

DIWANI KATA YA KIPAWA AANZISHA MRADI WA KUWASAIDIA WANAWAKE WA KATA HIYO

Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Mradi wa Kuwaendeleza Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma zao,unaofahamika kama WANAMA (Wamama na Maendeleo).Kulia ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Kipawa,Said Fundi.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Dalring Hair,Edward Shilla (kulia) ambao ni wadhamini wa Mafunzo ya Mradi huo wa WANAMA akizungumzia namna walivyoweza kujitokeza kudhamini Mradi huo utakaowawezesha Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma zao.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa ambaye ndie Mratibu mkuu wa Mradi.

Afisa Mtendaji wa Kata ya Kipawa,Said Fundi (kushoto) akitoa shukrani kwa wadhamini wa Mradi wa Kuwaendeleza Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma zao,unaofahamika kama WANAMA (Wamama na Maendeleo) ambao ni Kampuni ya Dalring Hair.Katikati ni Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa na kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Dalring Hair,Edward Shilla.

4.JPG

Mfuko wa Bonnah Education Trust Funds unaosomesha Wanafunzi wetu wenye akili na waliopasi Shule zao lakini hawana uwezo kabisa wa kujilipia mahitaji ya Shule kama ADA na MAHITAJI mengine kwa ajili ya kuanza KIDATO CHA KWANZA nchini, unatazamiwa kufanya Fund Raising au Harambee ya kuchangisha pesa hizo siku ya Jumamosi hii Tarehe 27/9/2014 Serena Hotel kuanzia Saa Moja Jioni, Wote mnakaribishwa tusaidie watoto wetu wenye akili na uwezo wa kusoma lakini hawakubahatika kuwa na wazazi wenye uwezo wa pesa japo kidogo tu za kusomea Sekondari.
 
Mimi ni mwanachama na mkereketwa wa Chadema, nina kadi yangu toka mwaka 2007,
Japo mchakato na mwongozo wa kugawana majimbo ndani ya Ukawa haujakamilika ila ninataka kuwaasa viongozibwa Ukawa kumpa Mtatiro jimbo la Segerea kama wanataka kulipata hili jimbo kiulaini na kiurahisi sana.
Binafsi sijawahi kukutana na Mtatiro face to face na wala hanijui namfaha kama mwanasiasa makini mwelewa na mwenye upeo naweza kusema ni mojawapo ya mwanasiasa mkubwa sana hapa Tanzania na mwenye future nzuri.
Huyu jamaa kama kuna mtu ambaye anamfuatilia hawezi kupingana na mimi. Jamaa hana kinyongo na ni mwanasiasa makini asiye na tamaa ya madaraka.
viongozibwa ukawa huu ni ushauri wangu binafsi na wala sijatumwa na mtu.
Kama tunalitaka hili jimbo kiulaini lazima lipewe CUF na Mtatiro mwanasiasa makini asiye na makuu lazima ataleta changamoto kubwa sana Jimboni hadi bungeni.
Nina uhakika hata akipewa uwaziri atasimamia wananchi
Mbona kama ndio wewe mwenyewe.?
 
hivi nyie ukawa mnataka sisi ccm tuende wapi?! Kilajimbo mnataka mshinde nyie tu. Kwani sisi hatuna watoto kamanyie? Sisitunaamini tumeongoza nchi hii kwa amani na utulivu miaka 54. Hatukuwahi kuwawazia nyie mambo mabaya kamanyie mnavotaka tuwe. Tuna imani mungu atatupigania.

imekula kwenu
 
HATATOA AHADI TU KAMA WENGINE, HUYU MUDA WOTE ANAJISHUGHULISHA NA UTUMISHI KWA UMMA
10958623_1553962684880446_1010019039_n.jpg

DIWANI KATA YA KIPAWA AANZISHA MRADI WA KUWASAIDIA WANAWAKE WA KATA HIYO

Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Mradi wa Kuwaendeleza Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma zao,unaofahamika kama WANAMA (Wamama na Maendeleo).Kulia ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Kipawa,Said Fundi.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Dalring Hair,Edward Shilla (kulia) ambao ni wadhamini wa Mafunzo ya Mradi huo wa WANAMA akizungumzia namna walivyoweza kujitokeza kudhamini Mradi huo utakaowawezesha Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma zao.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa ambaye ndie Mratibu mkuu wa Mradi.

Afisa Mtendaji wa Kata ya Kipawa,Said Fundi (kushoto) akitoa shukrani kwa wadhamini wa Mradi wa Kuwaendeleza Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma zao,unaofahamika kama WANAMA (Wamama na Maendeleo) ambao ni Kampuni ya Dalring Hair.Katikati ni Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa na kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Dalring Hair,Edward Shilla.

4.JPG

Mfuko wa Bonnah Education Trust Funds unaosomesha Wanafunzi wetu wenye akili na waliopasi Shule zao lakini hawana uwezo kabisa wa kujilipia mahitaji ya Shule kama ADA na MAHITAJI mengine kwa ajili ya kuanza KIDATO CHA KWANZA nchini, unatazamiwa kufanya Fund Raising au Harambee ya kuchangisha pesa hizo siku ya Jumamosi hii Tarehe 27/9/2014 Serena Hotel kuanzia Saa Moja Jioni, Wote mnakaribishwa tusaidie watoto wetu wenye akili na uwezo wa kusoma lakini hawakubahatika kuwa na wazazi wenye uwezo wa pesa japo kidogo tu za kusomea Sekondari.

Sikukatalii ila cha muhimu hili jimbo wana ukawa walichukue. Lakini huyu dada mbona kama hizi ni jamba jamba za uchaguzi?
Ina tofauti gani na kombe la mbuzi kipindi cha uchaguzi. Watu kama hawa wakishashinda huwaoni. Wanajilipa kwanza matumizi yao.
 
Inasemekana Segerea ni la CUF sio Chadema wa Nccr, chadema hawakufanya kura za maoni huko na cuf bado hawajaanza kura zao za maoni
Chadema wameshafanya kura za maoni Segerea na aliyeshinda ni mwanamke anaitwa Anatropia kama sikosei, huyu mwanamke anayo nafasi ya kwenda bungeni kwa wadhifa alionao Bawacha nafasi hii haachiwe Mtatiro wa Cuf tunalichukuwa jimbo saa4 asubuhi.
Basi ndugu yangu tuendelee kuweka maombi mbele ili mchakato uende salama. Huyu kijana wetu akikabidhiwa hili jimbo nina uhakika ukawa kulichukua itakuwa kama kumsukuma mlevi tu
Ni saa 4 asubuhi tunamaliza kazi, najuwa mbinu zote alizotumia Bona Karua kumuangusha Makongoro Mahanga, tulimkodisha wanachama feki kwa malipo ya buku kumi kumi ila october wote waliompigia Bona kama mamluki upande wa ccm ni damu ya UKAWA, ccm wataduwaa.
Chadema muachieni Mtatiro hili jimbo....tusikilizeni tafadhali....
Wasiposikiliza hili tutawaadhibu na uwezo wa kuidhibu chadema sisi wana jimbo la segerea tunao.
Naibu Waziri ameamia CDM kwa ajili ya jimbo hilo......
Hakuna kitu kama hiki, Makongoro hachaguliki Segerea kwa sasa akae pembeni apumzike, asubiri swahiba wake Lowasa tutampigia kura awe Rais then yeye asubiri teuzi za Rais. Rais wa Tanzania ana madaraka makubwa sana Makongoro ashiriki kampeni kama mpiga debe wa Lowasa tu mikoani hawamjui ila jimboni kwetu Segerea hachaguliki, atagalagazwa na Bona Karua wa ccm kwa mara ya pili saa 3 asubuhi.

Watu wa Segerea bado wana chuki kubwa na Makongoro Mahanga na alihujumu ushindi wa Mpendazoe mwaka 2010.

Watu wa Chadema kama mpo humu mnisome kwa makini na kama mtaleta kiburi tutawafundisha adabu ili akili ziwarudie siku nyingine ndio mtaijuwa nguvu ys umma mnayohubiri ni nguvu ya sisi wananchi tusiotaka upuuzi wa uanachama wa vyama.
 
Aliyeshinda kura za maoni Segerea upande wa Chadema ni huyu dada anaitwa Anatropia, ila anayo chance kwenda bungeni kwa viti maalum, ampishe Mtatiro na Makongoro atupishe kwanza hatuna mzaha safari hii ama zao ama zetu na watakiona cha mtemakuni wao ccm na Mkwele wao. Segerea ni eneo hatarishi kwa ccm tunawachinja saa 2 asubuhi tu.
 
Attachments

  • 1439031656144.jpg
    1439031656144.jpg
    28.8 KB · Views: 133
Fairule is not an option, tunakwenda kuifundisha ccm siasa mwaka huu jimbo la Segerea na tutawaonesha pesa haina thamani mbele ya nguvu ya umma.

Tulimpa sapoti Bona Karua wa ccm kwanza kumng'oa Makongoro Mahanga jimbo la Segerea sasa tumeziunganisha silaha zetu kumduwaza Bona Karua hatoamini matokeo yatakapotangazwa wale waliompigia kura kumbwaga Makongoro wamepotelea wapi?. Tupo makini na tumejipanga vilivyo, hii ni movement ya umma wa wapenda haki ccm lazima ishike adabu mwaka huu.
 
Sikukatalii ila cha muhimu hili jimbo wana ukawa walichukue. Lakini huyu dada mbona kama hizi ni jamba jamba za uchaguzi?
Ina tofauti gani na kombe la mbuzi kipindi cha uchaguzi. Watu kama hawa wakishashinda huwaoni. Wanajilipa kwanza matumizi yao.

Huyu hajaanza leo, toka 2010 yeye na shughuli za kijamii tu akiwa Diwani wa Kipawa, kati ya watu wenye kujituma kwenye majukumu yao huyu binti yupo fiti.Sio kama hao wengine wanaotafuta ajira tu kwenye siasa ili wapate kula.Tunahitaji wwtu wenye maslahi ya umma mioyoni mwao, kwa Segerea Bonnah kaluwa hana upinzani kwa hilo, huyu wakati wote anahangaika na masuala ya umma.
 
sie watu wa Segerea tumeishaamua, tunakwenda na Mwanadada Bonnah Kaluwa mgombea wa CCM jimbo la Segerea
10483412_301281420080257_568131787_n.jpg

unnamed+(27).jpg

26.jpg

Kama unabisha muulize kapi Makongoro Mahanga, huyu binti ni jembe.

Naomba niwe meneja kampeni wake.
 
Back
Top Bottom