Mtatiro for Segerea, UKAWA zingatieni hili

Mtatiro for Segerea, UKAWA zingatieni hili

Naunga hoja kama ukaw wana nia ya kweli kugawana majimbo mtatiro ni nguvu inayotakiwa kuwemo mjengoni
 
Naskia segerea chadema ndio watasimamisha mtu
 
Huyu hajaanza leo, toka 2010 yeye na shughuli za kijamii tu akiwa Diwani wa Kipawa, kati ya watu wenye kujituma kwenye majukumu yao huyu binti yupo fiti.Sio kama hao wengine wanaotafuta ajira tu kwenye siasa ili wapate kula.Tunahitaji wwtu wenye maslahi ya umma mioyoni mwao, kwa Segerea Bonnah kaluwa hana upinzani kwa hilo, huyu wakati wote anahangaika na masuala ya umma.

Wewe unaishi jimbo la Segerea ipi? Kama ana maslahi na umma ni kwa nini alikuwa anagawa elfu kumikumi ili apigiwe kura?

Pili ni kwa nini alinunuwa kadi za ccm kwa wingi na kuzigawa hadi kwa watu wa upinzani ili apigiwe kura kwa rushwa?

40 yenu imetimia subiribini tutawafundisha adabu mwaka huu, kuleni pesa za huyo demu sijui kaiba wapi ila hamtaamini macho yenu tarehe 25 october.

Agenda ya wananchi mwaka huu ni kuing'oa ccm madarakani tu hakuna mjadala.
 
sie watu wa Segerea tumeishaamua, tunakwenda na Mwanadada Bonnah Kaluwa mgombea wa CCM jimbo la Segerea
10483412_301281420080257_568131787_n.jpg

unnamed+(27).jpg


26.jpg


Kama unabisha muulize kapi Makongoro Mahanga, huyu binti ni jembe.

Endeleeni kumdanganya huyo demu huu ni msimu wenu wa kutafuna pesa za wagombea, tutamnyoosha saa 4 asubuhi tu.

Kama tuliweza kumpitisha ili amng'owe Mahanga jiulize tutashindwa vipi kumchinja yeye mwenyewe? Michezo yenu yote ya kitoto tunaijuwa tumewapa watu wengi kadi za ccm mwaka huu ili tuwaulie humohumo ndani hamtoki mwaka huu.
 
Matola mtatiro anasema hili jimbo limeletwa chadema, na kuna tetesi kuwa dr Slaa anakuja kugombea? Kuhusu dr sidhani kama kuna ukweli?
 
Last edited by a moderator:
Matola mtatiro anasema hili jimbo limeletwa chadema, na kuna tetesi kuwa dr Slaa anakuja kugombea? Kuhusu dr sidhani kama kuna ukweli?

Kimahesabu ni kweli Chadema ina nguvu jimbo hili Cuf ina nguvu kubwa kata mbili ya Vingunguti na Buguruni na zina wapiga kura wengi sana.

Kama wamekubaliana hivyo ndani ya vyama sisi hatuna shida adui yetu ni ccm tu.

Lakini vyovyote vile iwavyo jimbo hili ccm wahesabu wameumia wataendelea kitawala jimbo la ilala lakini siyo hili.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mnaparurana kama mapaka wakati hata mgawanyo haujatangazwa
 
Inawezekana unayoyasema ni ya kweli, lakini wanasiasa aina ya Mtatiro na pengine wanaomzidi wapo wengi saana. Uchaguzi wa 2010 Fred Mpendazoe kwa tiketi ya CHADEMA alimsumbua saana Makongoro, sijui wakati huo Mtatiro alikuwa wapi? Mi nadhani CHADEMA bado wana nafasi ya kufanya vizuri katika uchaguzi huu pia.
 
Back
Top Bottom