Mtatiro alifanya Wrong choice...

Mtatiro alifanya Wrong choice...

Kila mtu ktk maisha ana malengo, ambayo yanaweza kuboreshwa kadri yanavyotimia au yanavyododa. Kwa upande wake yawezekana malengo ni hela tu na si hela na umaarufu. hivyo kama choice ilikuwa ni hela pekee amefanikiwa maana kwa tunaojua mambo yake yuko njema. ZZk yeye alitaka umaarufu na hela.
Kwa ujmla hakuna mwanasiasa anayelenga kumtumikia mwananchi, usijidang'anye. wote huwa ni hela mbele (nadhani unaona bunge la katiba, Lema, n.k.) mwananchi baadaye, saana kwenye uchaguzi. Mimi naweza kusema anatimiza malengo lakini si kama unavyotegemea wewe kuwa awe maarufu kama ZZk na Kitila M and the like.
Ukitaka jua lengo la mwanasiasa ni hela mbele ulizia masharti aliyowapa CDM Dr Slaa alivyoambiwa agombee uraisi aache ubunge.

Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.

Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.

Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.

Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.

Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.

Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.
 
Cdm ni wajinga wao wanasema act ni chama cha kidini lakini humu naona comet zote ni za udini sasa sijui tuwelewe vp
 
yaendelee kubaki hivyo hivyo kuwa mawazo yako. kwa nini julius na sio wengine hata akina adendekisye? julius angekuwa tayari kashafukuzwa siku nyingi sana chadema maana jamaa ni jamii ya kina zitto, mkosamali, kafulina na machalii. asingekubaliana na uhafidhina hata siku moja. chama kama chadema wahafidhina kinawafaa tu akina mini kabang, dj et al wanaopokea amri kutoka kwa hayatula mtie wa tengeru. naisema chadema maana ndo ulichomaanisha kwani baada ya ccm inayofuata ni chadema and then CUF alipo mtatiro. nasema hivi haya yaendelee kubaki kuwa mawazo yako maana ni ya hivyo kweli kweli.

.
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.

Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.

Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.

Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.

Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.

Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.
 
Mtatiro siasa anaiweza anajua adui yake ni nani ndiyo maana mara nyingi amekuwa akipambana na CCM coz lengo la Chama cha Siasa ni kuchukua dola sijawahi kumuona akimsema vibaya Dr Slaa anasema ni mtu safi na atashirikiana naye huu ni uwezo mkubwa sana wa kisiasa,sasa huyu ZZK yeye anapambana na Slaa na Mbowe akishirikisha vyombo vya habari bila kujua anainufaisha CCM na kufanya upinzani uonekane hauna maana,We've a long way to go.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtatilo jembe toka tunasoma naye alikuwa anaonesha ukomavu fulani wa mambo.lakin kwenda cuf na ndoa ya hapo ng'ambo visiwani inapunguza nguvu yake
 
Julius ni mkristo, ndio maana nasema sijui kwa nini alimade such decision?..
Tunamhitaji sana bwana Julius

Yeah! He made a right decision at a wrong place/party
 
Mbona nasikia sharti la kupewa unaibu katibu mkuu ilikuwa inaambata na kubadili dini ?.

Yah. Hata mimi nilisikia hii kitu japo baadaye ikapotea. Pengine aliisha badili kama mzee Jumanne samwel malecela
 
mpotea njia ndo mjua njia, endelea kupotea mtatiro pengine utajifunza mengi huko uswahili matola
 
Uko thawa kabisa. Jamaa hanaga nidhamu ya fisi. Nakumbuka kwenye kongamano la ELIMU DUCE mwaka 2010 jamaa alipewa nafasi ya kukohoa kidogo. Dah; mbona watu walitaka atapike kabisa? yaani jamaa anamatendo ya ki-CDM wakati yuko kwenye chama chenye mrengo wa "COOL POLITICS". OOKAY! labda atabadilika badae.
 
Julius akienda CHADEMA siku mbili tu atafukuzwa maana atagusa maslahi ya wachaga , na yeye huwa hapendi kushindwa atafukuzwa mapema . Na akiona kitu hakai kimya kipite atadai mpaka mwisho
 
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.

Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.

Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.

Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.

Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.

Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.

Kwa bahati mbaya sana chama ambacho angeweza kujiunga nacho alikigundua kuwa ni cha Kikabila na kikanda ndo maana akajiunga na CUF ambayo imeanza ku mature kwa kuachana na siasa za kidini, kikabila na ukanda.
 
Mkuu Dikembe, kuhusu Mtatiro huko aliko kwenye chama cha fugate, niliwahi kueleza kuwa uwepo wake ni muhimu sana kama dekio na dodoki la kusafishia ule uchafu wa ile dhana!. Nilimshauri bora ahamie kule kwenye ile saccos!, kwa sasa simshauri kabisa Mtatiro kuhamia kule kuna hatari wanaweza hata wakamtatira!. Kama Shonza walimshonzoa, Mwigamba wakamwiga, Kabwe wakamkaba, Mkumbo wakamkumba!, hivyo Mtatiro wangemtatira!.
Pasco
NB. Black Label iko robo chupa tuu, nimemeza double 3!.
 
Kwa bahati mbaya sana chama ambacho angeweza kujiunga nacho alikigundua kuwa ni cha Kikabila na kikanda ndo maana akajiunga na CUF ambayo imeanza ku mature kwa kuachana na siasa za kidini, kikabila na ukanda.
Unajua mkuu, inawezekana angeenda kwenye hiki chama andetengeneza ile combination ambayo ni perfect. Inawezekana mapungufu ya hiki chama yanahitaji mtu kama Julius Mtatiro. CDM ingekua kama Barcelona kwenye soka....
Kitu kingine kibaya kwenye siasa huwezi kuhama na kubaki katika ile level yako, lazima utadrop tu, watu hawatakua na imani na wewe, hivyo nasikitika kumkosa Julius kwenye movement ya Engua CCM.
 
Usemacho ni kweli Mkuulakini asingedumu kutokana na uchanga wa mfumo wa siasa za nchi yetu. Ni kutokana na uchanga huo, utashangaa kuona watu kama Lema na Kilewo wana high profile katika Chadema. Usitegemee wangemuachia akapeta. Think twice.
 
Kwenye Maisha unaweza kufanya jambo bila kuangalia standard yako, sio kusudi but hua inatokana na kutokufahamu uwezo wako na umuhimu wako katika maisha yako na jamii inayokuzunguka.

Lengo langu hasa ni kumhusu jamaa mmoja ambaye kapewa nafasi ya juu kwenye Chama cha siasa nchini (CUF), Nlisoma nae UDSM, alikua kiongozi imara na asiye tetereka kwa wale mnaomjua nadhani mtakubaliana nami, jamaa anajulikana kwa jina la Julius Mtatiro.

Kipindi tuko University alikua waziri mkuu na aliweza kusimamia mambo mengi bila woga na hata alipopata upinzani toka kwa raisi na waziri wa mikopo(Bush) jamaa hakujali na kuweka misimamo kwa manufaa ya wanafunzi wa hali ya chini. Sakata la wakati huo lilikua Kuanza kwa 40%. Wanafunzi wote tulipinga kwa msaada mkubwa wa Bwana Mtatiro Julius tulifanikiwa na kuanza kwa mean testing.

Rais wa Chuo na waziri wa Mikopo walipewa namna na serikali ya CCM, ili kusimamisha migomo na kutushurutisha wanafunzi wote tuache migomo, but Julius alikataa na kuwa pamoja nasi, mpaka ikamsababishia matatizo baada ya kusimamishwa chuo.
Kitu kinachoniuma mpaka kukaa kitako na kuchora waraka huu ni kutokana na Julius kujiunga na chama chenye nguvu hafifu kwa na kusababisha kupoteza nia yake.

Hua naamini kama angekua kwenye chama pinzani chenye nguvu basi hata mtu kama ZZK angekua anafuta nyuma tu, sababu jamaa yuko halisi sana.

Hayo ni mawazo yangu na maono binafsi.

He did the right choice since then, it's just the matter of time when you'l definitely appreciate his capabilities. Being a member of CUF instead of CHADEMA doesn't make him a bad leader neh!?
 
Back
Top Bottom