Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Aksante kwa muongozo mkuu.. But mimi kama mimi nadhani ni moja ya watu ambao walihitajika kwenye kuleta mapinduzi ya kweli, kwa kweli hatufaidi huduma ya huyu jamaa, ndani ya CUF haleti changamoto kwa CCM.Mkuu dikembe, nakubaliana na hoja yako. Ni kweli Julius Mtatiro alikuwa kiongozi shupavu UDSM. Na alianzia kuwa Waziri wa Mkopo kabla ya kuwa Waziri Mkuu chini ya Serikali ya Deo. Lakini, kwakuwa yeye ni mtu mzima,yuko sahihi kufanya na kuamua atakavyo.
ngoja nimshauri aje chadema tusonge mbele
Mtatiro ana akili kubwa hawezi kujiunga na wenye akili ndogo!
Si unajua matokeo yake kwa wenye akili kubwa wenzake kama kina Kitila na Zitto, wako wapi sasa hivi?
Wameshabadilishwa na majina sasa hivi wanaitwa wasaliti!
Tamaa ndio mwanzo wa usaliti, zito na mwenzake waliingiliwa na tamaa, naamini kwa sasa wanajuta na kusaga meno. kila kitu kimeharibika.Kwa musimo wa Mtatiro na akili alizo nazo hangekubaliana na wasaliti kama Zitto na wenzake waliokuwa wanalipwa 150,000/=na Zitto pamoja na kuwa na elimu kubwa.
ZZK kiboko ya wachaggambuzi.Maoni yako ni mazuri sana kulingana na uhalisia wa mambo unayoyajua. Ila hapo ulipoweka jina la mh.Zitto utakuwa umetibua NYONGO za watu na hivyo mada yako hii nzuri kuchangiwa ndivyosivyo...
ZZK kiboko ya wachaggambuzi.
Kumbuka ZZK alipata chama chenye watu wenye kutoa changamoto..Sio sawa na CUF. CDM kimeundwa na wakali watupu so kupitia hao na yeye pia juhud zake akapita kirahisi. Naamini watu wachache sana wanamtambua mtatiroHuko huko alipo yupo sahihi kabisa, nakumbuka hata zitto alijiunga chadema ikiwa haina umaarufu kiivo lakini yeye kama yeye alijipatia umaarufu na hadi leo ni maarufu kuliko chama chake. Hivyo basi na mtatiro akazane na kupambana aweze kufanikiwa watu hawachagui chama wanachagua mtu.
Ni mawazo yangu.
very correct...hatuwezi kujua , sababu ni muda umepita toka afanye revolution udsm, so anything is possible, labda kachoka to be real without benefit ndo kaamua kupiga shilingi kwa hivyo vyeo vinavyo mzeesha bila recognition.uchambuzi wako ni mzuri, mtu kama mtatiro alifaa kuungana na chadema kwa sasa, kwa sababu malengo ya kuwatetea wanyonge, kwa sasa hawezi kuyatimiza akiwa cuf, kama akiungana na makamanda hilo linawezekana, huo ndio ukweli, kama lengo ni moja kuing'oa ccm ili kuwakomboa wanyonge, basi hana budi kuungana na chadema, ila kama lengo lake ni vyeo na kupiga shilingi, basi abaki hukohuko.
Mkuu alimade uliimainisha alimake?Julius ni mkristo, ndio maana nasema sijui kwa nini alimade such decision?..
Tunamhitaji sana bwana Julius
Ila kiukweli jamaa inaonesha anaroho ngumu. Nakumbuka mwaka jana Mwenyekiti wake lipumba alikuwa akihutubu msikiti mmoja pale kariakoo na kuwaambia waislamu kuwa wenzao wakrusto wana chama chao kwa hiyo na wao waislamu wa uchukue hatua. Sijui mtatiro yy dini gani. Au maslahi kwanza?