dre4691
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 549
- 518
Maisha yake kwa ujumla yapo vipi???
Anakazi?Ana account walau ya milion 4 apart from kazi???
Amefika miaka 28+?
Una enjoy sex kwenye mahusiano yako???
Ukipata jibu pa hapana kwenye hayo maswali inaeezekana ndo sababu siamini kama hakupendi angekuwa keshakuacha zamani by the way don't force things