Unataka akuoe kwasababu kakubikiri, kwasababu mliahidiana au kwasababu anakupenda (mnapendana)?Me si mlazimishi ni ahadi tuliyojiwekea kwann? Haivunje na yeye ndo wakwanza ( kanibikili) Mara ya mwisho kuonana Naye mwaka Jana mwez wa 7
Kwa sababu nampendaUnataka akuoe kwasababu kakubikiri, kwasababu mliahidiana au kwasababu anakupenda (mnapendana)?
Yeye je...anakupenda?Kwa sababu nampenda
Kabisa,kimya kimya unajitoa...Eeeenh dada siku hizi ukiona mtu haeleweki unapga chini fasta, umri unaenda ati japo mnasema age is just a number
Hahah,muwahi pm sasa umpooze ..kamata fursaKwahiyo unamlazimisha hata kama kaahirisha?
Ni kawaida kubadili mawazo sio lazima akuoe hata kama anakuona we ni jipu. Suala la kuoana ni la milele, kwanini alazimishe? Tafta wengine ambao hawajaoa kama mimi
Tusiwalaumu sana wanaume...hata sisi akili zetu zikisikia ndoa zinaganda,hatuwazi tena wala hatuoni kingine..Mungu atusaidie sanaPole ... Ila saa zingine sio Lazima uambiwe wedding is cancelled mama.... Jiongeze tu.
Daaa wanaume Mungu awarehemu.
Ngoja nirushe karata, ila vigezo na masharti kuzingatiwa.Hahah,muwahi pm sasa umpooze ..kamata fursa
Amekutema tayar. Pole sana, songa mbeleNilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cm
Asante...lakini nampendaAmekutema tayar. Pole sana, songa mbele