Endelea kumpendaAsante...lakini nampenda
Basi pole, ila wanaume ni kama wasaka tenda. Anapoona sehemu kuna fursa ya kupata tenda ataifukuzia kwa nguvu zote hadi aipate. Akishaipata anaifanya kwa muda then anaipiga chini.Me si mlazimishi ni ahadi tuliyojiwekea kwann? Haivunje na yeye ndo wakwanza ( kanibikili) Mara ya mwisho kuonana Naye mwaka Jana mwez wa 7
Sasa hapo hapo unaomba wa nini? Uwoiii uwiiii yeuwwiii uwiiiNilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cm
Kama unampenda mtu toka moyoni mama kuja kugutuka kama hana lengo na wewe huchukua muda .... Ndo maana mimi siku hizi ni mguu ndani na mguu nje yaani ni 50/50Tusiwalaumu sana wanaume...hata sisi akili zetu zikisikia ndoa zinaganda,hatuwazi tena wala hatuoni kingine..Mungu atusaidie sana
Kweli kabisa siyorahisi kujua kama hana lengo na mumi kutokana na upendo nilionao kwake na nilivyo mjengea imaniKama unampenda mtu toka moyoni mama kuja kugutuka kama hana lengo na wewe huchukua muda .... Ndo maana mimi siku hizi ni mguu ndani na mguu nje yaani ni 50/50
Kama unahitaji experience Njoo inboxKwa sababu nampenda
Asante Dada yangu nitafanya hivyoPole kwa sasa unamaumivu makali na hasira moyoni. Tulia omba Mungu vuta subira. Jipe moyo jitie nguvu usimtafute tena huyo mpenzi wako. Kama una mtoto lea mwanao bila msaada wake kama hujazaa na hii utaweza iwapo utafanya kazi kwa bidii. Kasi yotote ile mradi si kujiuza au haramu ili ulee mwanao bila kumtegemea. Jipe muda walau wa mwaka mmoja au miwili kabla hujaingia mahusiano mengine. Waweza kuwa na marafiki wa kiume kwa kipindi hicho ila uwe makini wasiwe wapenzi la huwezi kuwa na rafiki wa kiume bila kuwa wapenzi basi uwe na marafiki wa kike tuu au uwe kimwenyewe mwenyewe hadi utakapokuwa tayari kuingia kwenye mahusiano mapya.
Muhimu ujipende jitunze jithamini usikubali mtu akirudishe nyuma au kukuumiza kwa mawazo hasi.
Pole sana na kila la kheri, kwa asili yetu sisi wanawake lia weeeh tena kwa nguvu hadi hasira yako iishe kisha mtoe akilini mwako na songa mbele.
Ukifanya hivi nakwambia utang'aa na kupendeza upyaa hata kama unaogea mbuni na kupata rays moyo wako uwe meupeee na mwepesi usishikilie mtu hukoo.
Kila la kheri mama.
yapata miaka mitano sasa toka nimekuwa naye kwenye mahusiano na tukapanga kuoana mwaka huu mwez wa 4 huu mpango tuliuweka toka mwaka 2012.
AsantePiga moyo konde simama usonge mama, tapeli huyo. Mapito ya kawaida kabisa ya maisha hayo shukuru kwa uhai, aliyekuchagulia Mungu yupo. Usije lazimisha matatizo mengine makubwa.
Sasa unasubiria nn mkuu?? Huna chako hapo,jiongeze tu.Nilishajaribu akisikia sauti yangu tu anakata cm
Nimekuelewa.....nitajifunzaNi ukweli usiopingika kuwa kamwe HAUWEZI KWENDA KINYUME NA MAAGIZO YA MWENYEZI MUNGU NA UKABAKI SALAMA.......mwenyezi MUNGU anapotoa makatazo kwa waja wake si katika nia ya kuwatesa waja wake bali ni katika kuwatakia mema....
Agizo la kutaka watu wasiikaribie zinaa ni katika kuuhifadhi na kuheshimu utu wa mwanadamu.....ukweli mchungu ni kwamba huyo jamaa haoni thamani yako tena ,haoni sababu kupoteza chambo kwa samaki aliyekuwa tayari anaye nchi kavu......ameshakinai na wewe haoni jipya lolote kwako......umegeuka kuwa kero kwake badala ya kuwa chem chem ya furaha kwake........haoni sababu ya kukuoa kwa kuwa kile alichokuwa akikihitaji kwenye ndoa alishakipata kwako......tena kwa muda miaka zaidi ya mitatu....kwa lugha nyepesi huyo ameshakukinai........hili ni moja kati ya masomo magumu kwako lakini huna budi kujifunza.....huna budi kuanza upya kwani kuanza upya sio ujinga.....mwanadamu mwenye hekima hujifunza kutokana na makosa yake...na ni mwanadamu mpumbavu ambaye hajifunzi kupitia makosa yake........
Na hili pia liwe funzo kwa wadada wengine walio kwenye njia kama anayopitia mtoa mada....
Nifanyeje sasa ili nimtoe moyon mwangu..mnisaidieSasa unasubiria nn mkuu?? Huna chako hapo,jiongeze tu.