Miss Goguryeo
Member
- Apr 27, 2021
- 29
- 54
Habari watu wa JF
Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi nilimpenda pia, but nilichogundua mimi ndiye nilimpenda sana kuliko yeye.
Ilifika mahali tukatambulishana mpaka nyumbani na huu mwaka ndio tulipanga tufunge ndoa wazazi na ndugu wanajua hilo. ila gafla mwenzangu amebadilika sana, ana wanawake wengine, ananidharau sana, hata nikitaka kumkumbatia hataki kabisa, kuongea na mimi anaona kero, nisipomtumia SMS hatumi nisipopiga mimi hapigi, hata nikipiga hapokei simu zangu wala hajibu sms tukikutana nikimuuliza anasema hakuna tatizo.
Naumia sana yaani ilifika hatua nilitamani hata kujiua sijawahi kupenda, yeye ni wa kwanza nampenda sana sana , ananiumiza sana hata kwa maneno na majibu yake kwangu najua anipendi tena. nimekuwa wa kulia hata shughuli zangu haziendi, usiku nachelewa kupata usingizi nimekuwa mpweke nimepitiliza, yaani nina msongo wa mawazo , kuna muda nafanya mambo ya ajabu mpaka nawaza labda nimeanza kuwa kichaa.
Ila yeye hajali kabisa amefocus na michepuko yake naumia sana sana, naomba mnisaidie mlioingia kwenye mahusiano muda mrefu mliwezaje kumoveon natamani nimuache afanye anavyotaka nahisi namkera hata ninavyomuuliza kwanini amebadilika. Natamani nimpe uhuru achague anachotaka, ila siwezi nampenda sana jamani siwezi kukaa mbali na yeye nampenda sana nisaidieni.