Parody
Member
- Sep 13, 2020
- 24
- 69
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza
Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima Everest kabla ya kuanza mzunguko wake wa mwisho kuelekea kilele cha mita 8,850.
"Leo ilikuwa ngumu, nilihisi oksijeni inaniishia na zoezi la kupanda mlima kuwa gumu lakini ilikuwa nzuri," - Rawan binti ambaye alipima covid 19 wakati wa kupanda mlima.
Chanzo: Michuzi TV