Upandaji wa Mlima Kilimanjaro uboreshwe ili walemavu, wazee na wenye uzito kubwa waweze kufika kileleni

paschal8203

New Member
Aug 2, 2021
0
0
MLIMA KILIMANJARO
Mlima kilimanjaro ni fursa ya utalii inayoingiza kipato kwa Serikali na watu binafsi, lakini pia ni sehemu ya kuimarisha afya kwa mtalii kupitia kutembea, lakini mlima Kilimanjaro bado upo katika Hali ya kubagua wapandaji/watalii sababu mlemavu, wazee na watoto, hawapati fursa ya kukifikia kilele Cha mlima huo japo unakuta nawao wanamatamanio ya kufika kileleni,
SKY LIFT, ELEVATOR/HILL ELEVATOR.

Hii ni njia lahisi kabisa kwa mtu yeyote [mlemavu, mzee, mtoto,] na hata asiependa kutembea hasa mtu mwenye uzito zaidi kumuwezesha kufikia kilele cha mlima kilimanjaro, Serikali inapaswa kuliona hilo iwe kwa fedha zake ama kupitia wadau wa uwekezaji kuweka huu mfumo wa Sky elevator/hill elevator, hii itakuwa chachu ya kuongeza pato zaidi katika sekta ya utarii,na kuonge watalii zaidi.

By Paschal Totela [paschal8203]
 
Back
Top Bottom