KWanza kabla ya yote ni hii RAI uchwara na mwannchi tuliyonayo au nido ile RAI Makini. Usuje ukawa ni ujanja wa kujarubu kubrainwash watu, mbona RAI yenye ya siku hizi haina brain food, nimefungua main nimeanza kusikia kichefuchefu????
KWanza kabla ya yote ni hii RAI uchwara na mwannchi tuliyonayo au nido ile RAI Makini. Usuje ukawa ni ujanja wa kujarubu kubrainwash watu, mbona RAI yenye ya siku hizi haina brain food, nimefungua main nimeanza kusikia kichefuchefu?
Hii ni rai mbofumbofu yenye propaganda za Rostam Aziz.
Unapotembelea tovuti ya Uhuru,Habari Leo au Dailynews unakwenda kuwa brainwashed au kuangalia kama kuna lolote lenye interest kwako?Kwa sie tulio mbali na nyumbani,kila habari kwamba kuna new news avenue ni good news.By the way,I was just sharing some info with those whose only means of knowing what's happening in Bongo is thru mtandao.
Good question. Sisi tuliohapa nyumbani tunapenda sana mjue yanayotokea huku, mjue ya kweli na mjue yanayohusu maslahi ya taifa letu. Tunaamini kuwa nyie Wabongo mlioko huko juu bongo zenu zimepanuka zaidi kuliko za sisi tulioko hapa home. Sasa mkijua issue, really issues zinazohusu maslahi yetu Watanzania wote mnaweza kupiga push kubwa sana, kusaida kubadilisha mambo.Unapotembelea tovuti ya Uhuru,Habari Leo au Dailynews unakwenda kuwa brainwashed au kuangalia kama kuna lolote lenye interest kwako? Kwa sie tulio mbali na nyumbani, kila habari kwamba kuna new news avenue ni good news.By the way,I was just sharing some info with those whose only means of knowing what's happening in Bongo is thru mtandao.
Baaab Kubwa!Pengine kuna mtu ameshaposti hii lakini nadhani ni vema nikaiweka pia,just in case.Magazeti ya Habari Corporation (Mtanzania,Rai,etc) sasa yanapatikana kwenye mtandao.Tovuti yao ni http://www.newhabari.com
Well Msomi yeyote hawezi kujumlisha jumlisha mambo tu!!! kusoma na kuchambua na kuamua lipi uchukue ni wajibu wa msomaji, kumwambia mtu asisome Uhuru, Tanzania Daima, etc... ni upuuzi mkubwa sana!!!
Pengine kuna mtu ameshaposti hii lakini nadhani ni vema nikaiweka pia,just in case.Magazeti ya Habari Corporation (Mtanzania,Rai,etc) sasa yanapatikana kwenye mtandao.Tovuti yao ni http://www.newhabari.com
newhabari.com ilifia wapi?Pengine kuna mtu ameshaposti hii lakini nadhani ni vema nikaiweka pia, just in case. Magazeti ya Habari Corporation (Mtanzania, Rai, etc) sasa yanapatikana kwenye mtandao. Tovuti yao ni newhabari.com
Rostam aliyanunua ili ayaue, maana walikuwa wanapiga sana spana hasa kuanzia 2015 kurudi nyumanewhabari.com ilifia wapi?