Mtanzania, Rai etc NOW ONLINE

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,182
883
Pengine kuna mtu ameshaposti hii lakini nadhani ni vema nikaiweka pia, just in case. Magazeti ya Habari Corporation (Mtanzania, Rai, etc) sasa yanapatikana kwenye mtandao. Tovuti yao ni newhabari.com
 
KWanza kabla ya yote ni hii RAI uchwara na mwannchi tuliyonayo au nido ile RAI Makini. Usuje ukawa ni ujanja wa kujarubu kubrainwash watu, mbona RAI yenye ya siku hizi haina brain food, nimefungua main nimeanza kusikia kichefuchefu?
 
KWanza kabla ya yote ni hii RAI uchwara na mwannchi tuliyonayo au nido ile RAI Makini. Usuje ukawa ni ujanja wa kujarubu kubrainwash watu, mbona RAI yenye ya siku hizi haina brain food, nimefungua main nimeanza kusikia kichefuchefu????

Bongolander..

Hii ni rai mbofumbofu yenye propaganda za Rostam Aziz. Magazeti haya yalitumika kuwamaliza wapinzani wa kikwete ndani ya sisiemu wakati wa kampeni ya uraisi na sasa ni propaganda tupu hapo?

Bado ninadocument mambo ya huyu Rostam Azizi. Wanaccm wengi ambao sio wanamtandao wamechoka na spin zake na wako tayari kuanika biashara zake chafu na mahusiano yake na wafanya biashara haramu wa kiirani.
 
KWanza kabla ya yote ni hii RAI uchwara na mwannchi tuliyonayo au nido ile RAI Makini. Usuje ukawa ni ujanja wa kujarubu kubrainwash watu, mbona RAI yenye ya siku hizi haina brain food, nimefungua main nimeanza kusikia kichefuchefu?

Unapotembelea tovuti ya Uhuru, Habari Leo au Dailynews unakwenda kuwa brainwashed au kuangalia kama kuna lolote lenye interest kwako?Kwa sie tulio mbali na nyumbani, kila habari kwamba kuna new news avenue ni good news.By the way, I was just sharing some info with those whose only means of knowing what's happening in Bongo is thru mtandao.
 
Hii ni rai mbofumbofu yenye propaganda za Rostam Aziz.

Nakubaliana na wewe Mwafrika wa Kike, ni vizuri sana tukijua zaidi kuhusu huyu jamaa ambaye sasa inaoneaka kama anaongoza nchi na kunufaika by proxy. Kwenye nchi yoyote yenye wanaume na wanawake wenye akili, mtu kama Azizi hawezi kupewa fursa ya kutawala kwenye media, matokeo yake ndiyo haya tunaona waningia kwenye nyadhifa watu anaotaka yeye.
 
Unapotembelea tovuti ya Uhuru,Habari Leo au Dailynews unakwenda kuwa brainwashed au kuangalia kama kuna lolote lenye interest kwako?Kwa sie tulio mbali na nyumbani,kila habari kwamba kuna new news avenue ni good news.By the way,I was just sharing some info with those whose only means of knowing what's happening in Bongo is thru mtandao.

Asante mlalahoi kwa kushare info.

Hii habari corporation ya mkoloni, mwizi na mkwepa kodi Rostam Azizi inabidi iogopwe kama ukoma! Kama huamini muulize Dr Salim na wenzake huko sisiem
 
Unapotembelea tovuti ya Uhuru,Habari Leo au Dailynews unakwenda kuwa brainwashed au kuangalia kama kuna lolote lenye interest kwako? Kwa sie tulio mbali na nyumbani, kila habari kwamba kuna new news avenue ni good news.By the way,I was just sharing some info with those whose only means of knowing what's happening in Bongo is thru mtandao.
Good question. Sisi tuliohapa nyumbani tunapenda sana mjue yanayotokea huku, mjue ya kweli na mjue yanayohusu maslahi ya taifa letu. Tunaamini kuwa nyie Wabongo mlioko huko juu bongo zenu zimepanuka zaidi kuliko za sisi tulioko hapa home. Sasa mkijua issue, really issues zinazohusu maslahi yetu Watanzania wote mnaweza kupiga push kubwa sana, kusaida kubadilisha mambo.

Suala la kubrain wash linakuja pale unaposoma news katibu wa kijiji amekamatwa kwa kupokea rushwa, lakini magazeti ya Rostam Aziz hayaandiki grand corruption, sana sana yatazugazuga tu uone kuwa kweli serikali inafanya mambo mazuri.

Angalia tu kwenye column ya kulia chini kabisa, kwe page ya mbele ya hiyo webpage utaona analinda uchafu ambao hata ndani ya CCM wenyewe wanaupinga, sasa what can you call this kind of thing.

Or what kind of news do you want from home my bro! Unataka habari za kusema Bw. Kijiko kafumaniwa na mke wa mtu? Nadhani upeo wa watu wazima uko kwenye real issues, sio danganya toto.
 
Tunawakaribisha Rai na Mtanzania katika magazeti tando.
 
Yaani miaka yote hii leo ndio wanakuwa na www yao... what a waste? kwanza magazeti yenyewe na tovuti mtu mzima mvyo!
 
Siwezi kupoteza muda wako kusoma magazeti ya kinafiki mbayo badala ya kuandika habari za kweli cha yale yanayotokea Tanzania kuhusiana na ufisadi, wala rushwa na viongozi wa ngazi za juu wanaojilimbikizia mali inaenda kuandika habari ya mjumbe wa nyumba 10 aliyekamatwa akipokea rushwa ya shilingi 3,000. Watanzania wameshafunguka macho na wanajua kuchambua uwongo ni upi na ukweli ni upi.
 
Unajua hawa jamaa wameshasikia kuanzishwa kwa RAIA MWEMA na kwamba litaanza moja kwa moja katika mtandao thats why wameibuka na kuanza kutaka kupambana. Hii ya www ni mapambano ya wazi lkn kuna mapambano ya siri yanaendelea
 
hata kama ni propaganda, ni afadhali ikawekwa wazi hadi kwenye mitandao ili watu wote wakaona hizo propaganda zao na wakajua jinsi vipi ya kuepukana nazo wao na jamii yao.

hongereni sana, japo yaweza kuwa ndio mwanzo wa mwisho wa propaganda zenu
 
Well Msomi yeyote hawezi kujumlisha jumlisha mambo tu!!! kusoma na kuchambua na kuamua lipi uchukue ni wajibu wa msomaji, kumwambia mtu asisome Uhuru, Tanzania Daima, etc... ni upuuzi mkubwa sana!!!
 
Well Msomi yeyote hawezi kujumlisha jumlisha mambo tu!!! kusoma na kuchambua na kuamua lipi uchukue ni wajibu wa msomaji, kumwambia mtu asisome Uhuru, Tanzania Daima, etc... ni upuuzi mkubwa sana!!!

Well said!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom