Mtanzania mwenzetu yupo live ITV, tumsikilize!

Mtanzania mwenzetu yupo live ITV, tumsikilize!

Mwalimu alikuwa na madkatari bingwa wanne tu mmoja kijana alifariki akabakiwa na watatu. Leo wapo maelfu kwa maelfu kwa maelfu lakini wagonjwa wanalala chini

Unaposema madaktari wapo maelfu lakini wagonjwa walala chini, kwani madaktari mbali na kazi ya kutibu wanahusika na kuwapa wagonjwa vitanda? Samahani lakini
 
Leo viongozi wananunua gari moja milioni 250 ambayo inatosha hospitali ya mwananyamala, lakini wao wanatembelea

Hʊʏʊ ռaʏɛ ʍsօʍɨ? Mɮօռa aռa ɦօʝa ʐa ҡɨtօtօ ɦɨʋɨ?
 
Unaposema madaktari wapo maelfu lakini wagonjwa walala chini, kwani madaktari mbali na kazi ya kutibu wanahusika na kuwapa wagonjwa vitanda? Samahani lakini

tatizo lako ni jina lako mkuu wangu {omba omba}
 
Unaposema madaktari wapo maelfu lakini wagonjwa walala chini, kwani madaktari mbali na kazi ya kutibu wanahusika na kuwapa wagonjwa vitanda? Samahani lakini

Kamuulize michael bante, mimi naitwa TeamLowassa
 
Hata rizone kapata pesa baada ya babayake kutawala
Alikuwa lofa kama mimi tu
 
Hilo tu ndio kasema mkumbushe wakati wa muwalimu kila kitu kilikuwa shida kupata ili ukipate lazima upange foleni si chini ya ya masaa 56 ndio ukipate.
Kuanzia chakula hadi mafita ya petoli au disel.
Magari binafi marufuku kitembea jumamosi na j2.

Tumia akili zako vzur, alitaka tutumie kadir ya tunavyozalisha, kwa kutolijua hilo ndiy maana fcem washafikisha den tr 35 na bado uchum chn
 
NASHANGAA SIJUI KWANIN MWALIMU WATU WEUPE HAWAKUMUHADAA NA TALAAMU ZA KUPEANA KAMA PROF NYERERE,DK NYERERE...We Miss You Dady Pengne Lowassa Atakuja Kutuonjesha Matunda Ya Mama Tanzania Sis Walalahoi Kama Ulivyotuwazia Mzee Wetu
 
Huyo aliye na miaka 35 bila kitanda atakuwa na tatizo lake binafsi.

Kama miaka 35 huna ata kitanda basi ni lazima uwe mfuasi wa ukawa.
Maana ukawa wanayapenda Malofa ya namna hiyo becouse yanatawalika kirahisi Kama misukule.
 
Darasa la kwanza mpaka form four unakuwa na miaka 18 form 5 na form 6 unafikisha miaka 21 kwa miaka ya sasa ukimaliza form 6 labda utapata kazi kwenye kampuni ya Kingunge au usome udereva VETA au NIT upate kazi serikalini.. kwa iyo ukiwa na mipango utaanza maisha mapema tu.
 
Back
Top Bottom