Mtanzania mwenzetu yupo live ITV, tumsikilize!

Mtanzania mwenzetu yupo live ITV, tumsikilize!

We tatizo lako hapa ni kwa kuwa alikuwa anamsifia mwalimu nyerere

Nyerere kuna sifa anazostahiki, ziwe nzuri ziwe mbaya. Kumbuka, hakuwa malaika na ana makosa yake kama binadam mwengine yeyote yule.
 
Anasema sasa hivi mtu ukiwa na miaka 35 huna hata kitanda, wakati wa mwalimu miaka 22 ni mtu anajitegemea

Haijalishi ni muda wa mwalimu au wa Kikwete, kama wewe ni mwanaume mzima wa afya na uko 33 na kuendelea na hauna hata kitanda, wewe ni MVIVU NA HAUSTAHILI HATA KUVUTA PUMZI, haiwezekani kuna watu ni walemavu ila wamepambana mpaka wameanza maisha yao, wewe dume zima la afya hauna kitu, ni uvivu, wanaume wanaolalamika na wako tayari 30 na kuendelea ACHENI kutafuta wa kumbebesha lawama sababu ya UVIVU wenu.
NAONGELEA WAKATI HUU WA KIKWETE. Fursa za kumuwezesha mtu kununua angalau kitanda zipo.
Kilwete naona is becomimg a sacrificial lamb!
TeamLowassa najua mnachojaribu kuwafikirisha watu, ACHENI KUSAPOTI UJINGA.
 
Sorry,huu uharo wako ulitakiwa ukaumwage chooni na si hapa JF
 
Unajua ukishatoka nje ya tz ukaenda nchi za watu ndo utaona jinsi tz tilivyo nyuma, inauma sana unajua mkuu, mie mtazamo wangu naona wale wanaooshabikia kijani kwanza ni maslahi yao, kingine hawajabatika kutoka nje ya nchi, inauma sana mkuu na tuna kila kitu
Sasa wa miaka 35 hana kitanda na ni mzima wa afya na ni mwanaume unamsaidiaje?
Ni kweli ukilinganisha Tz na baadhi ya nchi, tulitakiwa tuwe mbele kidogo kutokana na rasilimali tulizonazo, tutafika tu huko si muda mrefu, ila kama unataka kutushawishi ukawa hii iliyovamiwa ndo wa kuwapa uskani, A VERY BIG HELL NO!
 
Sorry,huu uharo wako ulitakiwa ukaumwage chooni na si hapa JF

Nimesema UKWELI, kama imekugusa sababu hauna hata kitanda na umri unaenda, pole sana! ACHA UVIVU, kulaumu watu sababu ya uvivu wako.
 
Back
Top Bottom