Mkuu Salary Slip kwa machache mazuri kama haya tuipongeze Serikali ya awamu ya 6.
Mwaka Jana wakati wa Magufuli Liberata Mulamula na Cervasicus Likwelile walipata kazi za kwenda kuwa wa kuu wa Commission mbili tofauti kule African Union. Lakini Magufuli alikataa ku endorse waende na nafasi zikapewa nchi zingine
..huyu Maza hajawahi kufanya kazi hapa Tz.
..kabla ya kwenda UN, alikuwa mtumishi wa muda mrefu wa World Bank ambako alianza ngazi za chini.
..sasa serikali yetu inaweza vipi kuhusika ktk promotion yake huko UN?
..nafasi aliteuliwa sio ya kisiasa kiasi kwamba UN-SG alazimike kupata baraka za nchi anakotokea mteuliwa.
..Likwelile na Mulamula walikuwa watumishi wa serikali, ndio maana walipotafuta kazi huko nje ilibidi wawe na referee toka serikali ya Tanzania.