THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
CCM Halisi kama kina Lusinde and Co.MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)
Ndugu zangu watanzania napenda nichukue fursa hii niwakumbushe machache kuhusu hili sakata la Escrow maana tumedanganywa sana sasa tuseme inatosha maana ata vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kwamba watu wangu wemeangamia kwa kukosa maarifa
Ndugu zangu ninavyojua bwana Rugemalira alikua mtanzania pekee aliyekua na haki katika fedha za Tegeta Escrow Kama mmiliki wa asilimia 30% za IPTL.
Akashawishiwa na serkali kumuuzia bwana Singa Singa kwa madai ya serkali ya awamu ya nne kwamba Singasinga ni mwekezaji mkubwa ataboresha mtambo, Rugemalira akakubali akamuuzia kwa makubaliano waliyofikia ya dola 75 million
Bwana Rugemalira akalipwa asilimia 10% na kuendelea kuisubiria asilimia yake 90% katika siku 60 kwa mjibu wa mkataba .
Cha ajabu sasa!!! Singasinga na washirika wake walikua hawana nia njema na Rugemalira na wala hawakua na mpango wa kumlipa hiyo asilimia 90% walichokua wanahitaji ni kumtumia Rugemalira kuzifikia pesa pale Bank kuu (B.O.T)
Kibaya zaidi Rugemalira anasubiria kulipwa pesa zake kumbe watu washabeba hizo pesa kutoka Bank kuu na kugawana wakiwa na mikokoteni, rumbesa na vifurushi pale STANBIC bank mimi nawewe tujiulize hii bank mbona watu hawaizungumzii na waliochukua pesa kwa mikokoteni, rumbesa n.k hawatajwi Zitto, Lissu na kafulila watwambie
Rugemalira kuona hivyo ndo akaamua kwenda mahakamani kushitaki nakumbuka aliwashitaki wafuatao:-
1. Gavana wa Bank kuu kwa kuruhusu kutoa pesa hizo
2.PAP
3.STANBIC kwa kupokea fedha hizo na
4.Bank moja ya wapakistani iliyopokea kiasi fulani Cha fedha hizo za Escrow
Hapa sasa ndugu zangu ndo kimbembe, fitini na paniki dhidi ya bwana Rugemalira kuona anaendelea kupambana kupata haki yake ndo zilianza, watu wakatengeneza chuki dhidi yake inasemekana walishirika wa singasinga walikataa kumlipa bwana Rugemalira na kupanga kumuondoa kwa njia nyingine wajuazo wao.
Lakini inasemekana Gavana wa benki akaogopa sana na kusema hawafikii popote na hiyo GRAND FRAUD kwa hiyo ni bora wakubaliane kumlipa Rugemalira haki yake ili mambo yaishie hapo.
Na ndo hivyo Rugemalira alivyolipwa fedha zake kwa amri ya mahakama ya tarehe 17/ 01/ 2014 ambayo hadi sasa imefichwa kwa siri kubwa je!! ?? Zitto kabwe na Lissu hawajui hili Mimi na wewe tujiulize na tutafakari kwa kina!!!??
Na katika hiyo furaha ya kupata fedha zake kutoka mikononi mwa wanyanganyi Rugemalira akaamua kutoa sadaka na mgao kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serkali na dini akiwataka wafungue akauti benki ya mukombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki je kuna kosa gani apo na pesa amepewa kwa amri ya mahakama kwa tafsiri nzuri hiyo pesa ni Mali yake.
Kibaya ni pale wanaoujua ukweli huu wanaamua kudanganya watanzania kwa kujipambanua na kusema waliopewe pesa na bwana Rugemalira ndio wezi kumbe waongo na wazandiki ukweli wanaujua na ndo maana Zitto alikataa kutia sahihi kwenye ripoti iliyowasilishwa bungeni na kamati sasa kwa nini asemi ukwelii!!! Mimi na wewe tujiulize!!??
Sasa hii ndo ngumu kumeza naomba Zitto na Lissu watutajie waliochukua fedha benki kuu na kugawana pale STANBIC wakibeba hizo pesa kwenye mikokoteni, rumbesa, vifurushi n.k ni akina nani hao tuwajue!!??
Vile vile niwape angalizo watanzania magazeti yasitupotoshe kazi kubwa kuandika waliopewa mgao na Rugemalira hii inaonesha watu waliohusika na kukwapua hizo pesa Bank kuu na kugawana pale STANBIC wanaendelea kujificha na kuhonga magazeti ili yaendelee kutupotosha watanzania alafu kwanini hii Bank ya STANBIC watu hawaizungumzii wakati hii benki ndo imehusika kutorosha pesa kutoka Bank kuu( B.O.T)
Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe nia yao ni kutupotosha watanzania
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
Yani furaha tu ndio Rugemalira agawe hela zake kama sadaka? Ngum kumeza.MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)

Mkuu sasa hicho kitakatifu mbona hakimezi hivyo vingine ambavyo siyo vitakatifu???
MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)

Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe yao ni kutupotosha watanzania
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
Hapo kwenye nyekundu, uwezo wako wa kufikiri ndio umeshia hapo ?MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)
Ndugu zangu watanzania napenda nichukue fursa hii niwakumbushe machache kuhusu hili sakata la Escrow maana tumedanganywa sana sasa tuseme inatosha maana ata vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kwamba watu wangu wemeangamia kwa kukosa maarifa
Ndugu zangu ninavyojua bwana Rugemalira alikua mtanzania pekee aliyekua na haki katika fedha za Tegeta Escrow Kama mmiliki wa asilimia 30% za IPTL.
Akashawishiwa na serkali kumuuzia bwana Singa Singa kwa madai ya serkali ya awamu ya nne kwamba Singasinga ni mwekezaji mkubwa ataboresha mtambo, Rugemalira akakubali akamuuzia kwa makubaliano waliyofikia ya dola 75 million
Bwana Rugemalira akalipwa asilimia 10% na kuendelea kuisubiria asilimia yake 90% katika siku 60 kwa mjibu wa mkataba .
Cha ajabu sasa!!! Singasinga na washirika wake walikua hawana nia njema na Rugemalira na wala hawakua na mpango wa kumlipa hiyo asilimia 90% walichokua wanahitaji ni kumtumia Rugemalira kuzifikia pesa pale Bank kuu (B.O.T)
Kibaya zaidi Rugemalira anasubiria kulipwa pesa zake kumbe watu washabeba hizo pesa kutoka Bank kuu na kugawana wakiwa na mikokoteni, rumbesa na vifurushi pale STANBIC bank mimi nawewe tujiulize hii bank mbona watu hawaizungumzii na waliochukua pesa kwa mikokoteni, rumbesa n.k hawatajwi Zitto, Lissu na kafulila watwambie
Rugemalira kuona hivyo ndo akaamua kwenda mahakamani kushitaki nakumbuka aliwashitaki wafuatao:-
1. Gavana wa Bank kuu kwa kuruhusu kutoa pesa hizo
2.PAP
3.STANBIC kwa kupokea fedha hizo na
4.Bank moja ya wapakistani iliyopokea kiasi fulani Cha fedha hizo za Escrow
Hapa sasa ndugu zangu ndo kimbembe, fitini na paniki dhidi ya bwana Rugemalira kuona anaendelea kupambana kupata haki yake ndo zilianza, watu wakatengeneza chuki dhidi yake inasemekana walishirika wa singasinga walikataa kumlipa bwana Rugemalira na kupanga kumuondoa kwa njia nyingine wajuazo wao.
Lakini inasemekana Gavana wa benki akaogopa sana na kusema hawafikii popote na hiyo GRAND FRAUD kwa hiyo ni bora wakubaliane kumlipa Rugemalira haki yake ili mambo yaishie hapo.
Na ndo hivyo Rugemalira alivyolipwa fedha zake kwa amri ya mahakama ya tarehe 17/ 01/ 2014 ambayo hadi sasa imefichwa kwa siri kubwa je!! ?? Zitto kabwe na Lissu hawajui hili Mimi na wewe tujiulize na tutafakari kwa kina!!!??
Na katika hiyo furaha ya kupata fedha zake kutoka mikononi mwa wanyanganyi Rugemalira akaamua kutoa sadaka na mgao kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serkali na dini akiwataka wafungue akauti benki ya mukombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki je kuna kosa gani apo na pesa amepewa kwa amri ya mahakama kwa tafsiri nzuri hiyo pesa ni Mali yake.
Kibaya ni pale wanaoujua ukweli huu wanaamua kudanganya watanzania kwa kujipambanua na kusema waliopewe pesa na bwana Rugemalira ndio wezi kumbe waongo na wazandiki ukweli wanaujua na ndo maana Zitto alikataa kutia sahihi kwenye ripoti iliyowasilishwa bungeni na kamati sasa kwa nini asemi ukwelii!!! Mimi na wewe tujiulize!!??
Sasa hii ndo ngumu kumeza naomba Zitto na Lissu watutajie waliochukua fedha benki kuu na kugawana pale STANBIC wakibeba hizo pesa kwenye mikokoteni, rumbesa, vifurushi n.k ni akina nani hao tuwajue!!??
Vile vile niwape angalizo watanzania magazeti yasitupotoshe kazi kubwa kuandika waliopewa mgao na Rugemalira hii inaonesha watu waliohusika na kukwapua hizo pesa Bank kuu na kugawana pale STANBIC wanaendelea kujificha na kuhonga magazeti ili yaendelee kutupotosha watanzania alafu kwanini hii Bank ya STANBIC watu hawaizungumzii wakati hii benki ndo imehusika kutorosha pesa kutoka Bank kuu( B.O.T)
Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe nia yao ni kutupotosha watanzania
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
sasa wewe kama unawajua si uwataje? au mpaka watajwe na LISU au ZITO?MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)

Also vip kuhusu wale Simba Trust ambao yasemekana walichukua Nusu ya huo mgao wote?mbona wanafunikwa funikwa hawatajwi?
All in all haki hapo itendeke na kusiwe na double standards katika kuwachukulia hatua hao wezi
Ndio maana nasema kuna haja ya kuichunguza kiundani bank ya Stanbic na Mkombozi bank ili kuona miamala yote haramu ya uchotwaji wa fedha escrow. Itakuwa rahisi pia kuwatambua waliojificha nyuma ya pazia, siamini kama bank ya Stanbic na Mkombozi bank walikuwa hawajui kama zile pesa za escrow zilikuwa ni pesa haramu!!!Also vip kuhusu wale Simba Trust ambao yasemekana walichukua Nusu ya huo mgao wote?mbona wanafunikwa funikwa hawatajwi?
All in all haki hapo itendeke na kusiwe na double standards katika kuwachukulia hatua hao wezi
Sasa mkuu mbona umejikanyaga.Kufuatana na bandiko lako,ni kwamba Rugemalira kaonewa.Sasa inakuwaje tena unamsifia JPM?Hebu toa ufafanuzi.MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW)
Ndugu zangu watanzania napenda nichukue fursa hii niwakumbushe machache kuhusu hili sakata la Escrow maana tumedanganywa sana sasa tuseme inatosha maana ata vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kwamba watu wangu wemeangamia kwa kukosa maarifa
Ndugu zangu ninavyojua bwana Rugemalira alikua mtanzania pekee aliyekua na haki katika fedha za Tegeta Escrow Kama mmiliki wa asilimia 30% za IPTL.
Akashawishiwa na serkali kumuuzia bwana Singa Singa kwa madai ya serkali ya awamu ya nne kwamba Singasinga ni mwekezaji mkubwa ataboresha mtambo, Rugemalira akakubali akamuuzia kwa makubaliano waliyofikia ya dola 75 million
Bwana Rugemalira akalipwa asilimia 10% na kuendelea kuisubiria asilimia yake 90% katika siku 60 kwa mjibu wa mkataba .
Cha ajabu sasa!!! Singasinga na washirika wake walikua hawana nia njema na Rugemalira na wala hawakua na mpango wa kumlipa hiyo asilimia 90% walichokua wanahitaji ni kumtumia Rugemalira kuzifikia pesa pale Bank kuu (B.O.T)
Kibaya zaidi Rugemalira anasubiria kulipwa pesa zake kumbe watu washabeba hizo pesa kutoka Bank kuu na kugawana wakiwa na mikokoteni, rumbesa na vifurushi pale STANBIC bank mimi nawewe tujiulize hii bank mbona watu hawaizungumzii na waliochukua pesa kwa mikokoteni, rumbesa n.k hawatajwi Zitto, Lissu na kafulila watwambie
Rugemalira kuona hivyo ndo akaamua kwenda mahakamani kushitaki nakumbuka aliwashitaki wafuatao:-
1. Gavana wa Bank kuu kwa kuruhusu kutoa pesa hizo
2.PAP
3.STANBIC kwa kupokea fedha hizo na
4.Bank moja ya wapakistani iliyopokea kiasi fulani Cha fedha hizo za Escrow
Hapa sasa ndugu zangu ndo kimbembe, fitini na paniki dhidi ya bwana Rugemalira kuona anaendelea kupambana kupata haki yake ndo zilianza, watu wakatengeneza chuki dhidi yake inasemekana walishirika wa singasinga walikataa kumlipa bwana Rugemalira na kupanga kumuondoa kwa njia nyingine wajuazo wao.
Lakini inasemekana Gavana wa benki akaogopa sana na kusema hawafikii popote na hiyo GRAND FRAUD kwa hiyo ni bora wakubaliane kumlipa Rugemalira haki yake ili mambo yaishie hapo.
Na ndo hivyo Rugemalira alivyolipwa fedha zake kwa amri ya mahakama ya tarehe 17/ 01/ 2014 ambayo hadi sasa imefichwa kwa siri kubwa je!! ?? Zitto kabwe na Lissu hawajui hili Mimi na wewe tujiulize na tutafakari kwa kina!!!??
Na katika hiyo furaha ya kupata fedha zake kutoka mikononi mwa wanyanganyi Rugemalira akaamua kutoa sadaka na mgao kwa watu mbali mbali wakiwemo viongozi wa serkali na dini akiwataka wafungue akauti benki ya mukombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki je kuna kosa gani apo na pesa amepewa kwa amri ya mahakama kwa tafsiri nzuri hiyo pesa ni Mali yake.
Kibaya ni pale wanaoujua ukweli huu wanaamua kudanganya watanzania kwa kujipambanua na kusema waliopewe pesa na bwana Rugemalira ndio wezi kumbe waongo na wazandiki ukweli wanaujua na ndo maana Zitto alikataa kutia sahihi kwenye ripoti iliyowasilishwa bungeni na kamati sasa kwa nini asemi ukwelii!!! Mimi na wewe tujiulize!!??
Sasa hii ndo ngumu kumeza naomba Zitto na Lissu watutajie waliochukua fedha benki kuu na kugawana pale STANBIC wakibeba hizo pesa kwenye mikokoteni, rumbesa, vifurushi n.k ni akina nani hao tuwajue!!??
Vile vile niwape angalizo watanzania magazeti yasitupotoshe kazi kubwa kuandika waliopewa mgao na Rugemalira hii inaonesha watu waliohusika na kukwapua hizo pesa Bank kuu na kugawana pale STANBIC wanaendelea kujificha na kuhonga magazeti ili yaendelee kutupotosha watanzania alafu kwanini hii Bank ya STANBIC watu hawaizungumzii wakati hii benki ndo imehusika kutorosha pesa kutoka Bank kuu( B.O.T)
Mwisho nipende kumpogeza Raisi wetu kipenzi Cha watanzania hasa sisi maskini JPM kwa hizi hatua anazozichukua tunamshukru Mungu kwamba kupitia yeye tutayajua mengi na bahati nzuri JPM nimpenda haki sana na mwenye hofu na Mungu, Lissu anayejifanya kupinga kila kitu na kujiona yeye ndo mjuzi wa kila jambo mimi nasema kwa serkali hii tukufu atachelewa sana na unafiki wao ndo umefika mwisho hatudanyanyiki tena wanajifanya wanaguswa sana na hili swala kumbe nia yao ni kutupotosha watanzania
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
Mungu mbariki Raisi wetu JPM
Niwatakie siku njema
Magufuli Captain ( CCM mpya)
PCCB must resolve the puzzlenakumbuka ESCROW ilijadiliwa kwa kina na mapana yake. Hatua iliyopo ni PCCB kuchukua hatua tu.
Kila swali lilijibika wakati ule...
Watanzania wanapata matumaini wakiona angalau hatua zinaanza kuchukuliwa...
Na ndo hivyo Rugemalira alivyolipwa fedha zake kwa amri ya mahakama ya tarehe 17/ 01/ 2014 ambayo hadi sasa imefichwa kwa siri kubwa je!! ??
Hapa topic ni Ruge, Escrow na Singa,Kitabu kitakatifu ni kimoja tu. Kingine hicho ni shetani kujigeuza na kuwa mfano wa malaika wa nuru ambayo ndivyo alivyo!.
Mungu aligeuze fimbo ya Musa ikawa nyoka, shetani naye akawatumia wachawi wake kugeuza fimbo zao kuwa nyoka. Hata hivyo nyoka wa Fimbo ya Musa, ulimeza nyoka wote wa wachawi.
Nakuja.