Mtanzania Anayeishi Spain

Bueno Dias, Como stades amigo!
Mdogo wangu usifanye KOSA hilo kabisa, mimi niliwahi kushituliwa na Mweusi mwenzangu kule Belgium kuwa nisisthubutu kujipendekeza kwa weusi au watu wa kwetu bila kuwafahamu vizuri, huyo mshauri wangu alinifahamisha kuwa wengi wetu tunakwenda Ulaya kimagumashi, wengine biashara za Poda ndio zinatuweka huko, na wengine makosa kadhaa ya jinai, na kwa kiasi fulani wale jamaa wa usalama huwa wanawajua hawa jamaa ila huwa bado wanawavutia pumzi kuujua mtandao mzima, sasa wewe unaweza kuwa na bahati mbaya siku mnazoeana na hawa jamaa ndio siku draft inatimia na kuwa complete report mtazolewa na utakuja duaa unaunganishwa kwenye makosa makubwa ambayo huyafahamu, kama UNGA, Ugaidi nk. lakini pia wengine huwa matapeli tu na wanakweza kukuliza na wakakusakizia kesi kama za ugaidi ili urudishwe kwenu 24hr. Sisimi ni wote ila huna haja ya kutafuta wakwenu wakati umewaacha hapo kwenu ''mwakaleli'' tafuta marafiki wapya, kutoka nchi nyingine upate expo nyingine....... mimi leo alhamdulillah ninamarafiki takriban dunia yote kwa sababu niliachanana kiherehere hicho.... acha woga wa maisha DOGO

Asante sana Mkuu kwa Ushauri.
 
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Acha uswahili utie stori na nani huku? Kapige stori ulikotoka.
 
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Muombe mungu akukutanishe na watu sahihi wa kukupa kampani usipoteze muda wako kuwatafuta watu wa kibongo huko.unaweza kukutana nao ukajakujuta.endapo ilipangwa ukutane nao utakutana nao tu...just concentrate on what took you there my friend.
 
Asante sana Mkuu wilbald
 
Back
Top Bottom