Mtanzania Anayeishi Spain

Mkuu nisiwe muongo, mimi personally haijawahi nitokea but na mimi nasikia tu. Kuna wakenya walinambia walipata tabu kupata room kwasabu ni mablacks.
Hispania si ndio samueli etoo alikua akifunga goli anarushiwa ndiz ale kama nyani,hahah.Waspaniola hawapendi wachina sijui kwanini.
 
Kama upo Spain na wewe ni mbogo ukitemewa mate na wazungu wa huko au kutupiwa ndizi usishangae
 
Usisahau kwenda beach ya ibiza,masanja,keleja na majaliwa na naomi wanakupa hi ngalu
Mkuu hii mbn kama name calling inaruusiwa kweli, maana kwa ulivyomaanisha huyo anaitwa ngalu inatakiwa uonywe ili usirudie kesho huchelewi kumtaja mwingine labda Buzohe...... Cc Moderator & Invisible
 
Back
Top Bottom