mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
$300 ?ukitoka hapo unapuputika rubi ama shomb..Holla !! Umenikumbusha mbali sana Mkuu,
Spain nimefunga miji mitatu,Valencia,Barcelona na Algeciras. Kuna wanawake wazuri sana,kuna club tulienda Algeciras basi mwanamke kulala nae nusu saa tu $300..Barcelona kuna vibaka hatari wale wa kuchomoa na kukimbia.
fake
