KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,601
- 6,268
Kwani upo maeneo gani?Sawa ndg yangu, nikipata mda mzuri nita tembelea eneo lako pendwa
Kwani upo maeneo gani?Sawa ndg yangu, nikipata mda mzuri nita tembelea eneo lako pendwa
🤔 kongoleeSana tena ila wa jinsia ya kike.
Nipo hotel. X ndgKwani upo maeneo gani?
Hapo hanoi kuna kama hotel 2 hv zenye majina hayo ya x...Nipo hotel. X ndg
Vyura😀😀😀
🤔🤔 sasa mbona wapo kimyaaWatanzania hata ukienda Greenland nadhani utawakuta.
Niunganishe na mtanzania ulifanikiwa kuonana nae hukuHapo hanoi kuna kama hotel 2 hv zenye majina hayo ya x...
Kuna ile ambayo ukiwa unatokea uwanja wa taifa unaoitwa dinh karibu kabisa na ziwa hoan kiem hapo kuna hotel inaitwa NAM CUONG X, halafu kuna ile iliyopo thai nguyen inaitwa KHACH SAN X.
Kuna binti mmoja wa kizanzibar na mdogo wake nadhan hawajaondoka huko, nikiwacheki nakuunganisha!Niunganishe na mtanzania ulifanikiwa kuonana nae huku
Haina tatzo ndg yangu,Kuna binti mmoja wa kizanzibar na mdogo wake nadhan hawajaondoka huko, nikiwacheki nakuunganisha!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣, lipo mtaa ganNjoo tukutane, niko hapa jengo la UVCCM Hanoi
Sna uhakika kama chama cha siasa nch flani kiwe na tawi nch nyngne.Njoo tukutane, niko hapa jengo la UVCCM Hanoi
Njoo hapa karibu na stendi ya zamani ya Hanoi tuonane bro
😂😂😂 inafikirisha saaana ndg zang hawako seriousIla jf burdani sana
Labda uniambie wakenya na wanaigeria, ila wa Tz siyo watembeaji sana yaan rate ya waTz waliopo nje ni ndogo sanWatanzania hata ukienda Greenland nadhani utawakuta.
Wameshazoea jf muda wote ni kuchomekea na kuishi kwa wasiwasi ukute hta ww wanajua unaweka mtego😂😂😂 inafikirisha saaana ndg zang hawako serious
Ni kweli tulichelewa kidogoLabda uniambie wakenya na wanaigeria, ila wa Tz siyo watembeaji sana yaan rate ya waTz waliopo nje ni ndogo san
Wameshazoea jf muda wote ni kuchomekea na kuishi kwa wasiwasi ukute hta ww wanajua unaweka mtego
😂😂😂😂Wameshazoea jf muda wote ni kuchomekea na kuishi kwa wasiwasi ukute hta ww wanajua unaweka mtego
Hamna nilikuwa natania tuSna uhakika kama chama cha siasa nch flani kiwe na tawi nch nyngne.