Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

Hapana ndug
Kama kweli upo hapo hanoi, niliwahi kufika mwaka jana hapo jiji la hanoi nlipenda sana kwenda club moja inaitwa pearl club(sikujuta) ipo ufukweni mwa bahari, aisee kuna mabinti wa kithailand na wafilipino halafu hawana ubaguzi(naomba mengne ninyamaze nayo).. Lakn nlpenda sana mtaa wa soko kuu la dong xuan, hapa unapata kila kitu. Halafu kuna kule maeneo ya trang tien..
MWAKANI MWEZI WA TATU NARUDI TENA, inyeshe mvua liwake jua, aisee pearl club ni nzuri kwangu
 
Sawa ndg yangu, nikipata mda mzuri nita tembelea eneo lako pendwa🤝
 
Back
Top Bottom