Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

Mtanzania ambaye passport yake imewekwa hapa amefariki akiwa njiani kuja Tanzania kutoka India. Aliugua ghafla akiwa Dubai na amezikwa huko huko. Ni kwenye ile ndege yetu iliyoenda kuwachukua.
View attachment 1455072
Fake news! ! Ndege inaruka moja kwa moja mpaka dar. Au unasema ilifanya emergency landing Dubai. And show us the proof! ! Kwamba ilifanya hiyo emergency landing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fake news! ! Ndege inaruka moja kwa moja mpaka dar. Au unasema ilifanya emergency landing Dubai. And show us the proof! ! Kwamba ilifanya hiyo emergency landing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, tunabishana kama vile maiti inaliwa! Nenda kaulizie habari zake kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Dubai utapewa ukweli. Jinga wewe!
 
RIP mtanzania mwenzetu. Ina maana ile kauli ya Mh. Rais ya kuwasitiri wenzetu katika makao ya milele sehemu za asili au makaazi yao Tanzania bado haitekelezeki.

Maana ingewezekana kabisa maiti iletwe Tanzania kufuatana na taratibu za IATA na kama kweli alifia akiwa angani ndani ya ATCL..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…