Mtanzania aliechomwa Marekani hakuwa na ndugu, mwili wake ungerudishwa ungekosa wazikaji...

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, Le mutuz ameshikilia bango suala la mbongo kuchomwa moto Marekani baada ya kukosekana dola $6,000. Lakini nataka niwaulize mnaotukosoa, JE MNAMFAHAMU MARAEHEMU?, MNAWAFAHAMU NDUGU ZAKE?

Katika pitia pitia kwenye mitandao na baada ya kuongea na wabongo wawili watatu walioko boksi la US nimegundua kuwa jamaa hakuwa karibu na ndugu zake na hajawahi kanyaga Bongo miaka thelasini. Tunaambiwa kuwa hata mke na watoto wake hawajui jamaa alitokea wapi.

Sasa kama hata mke na watoto wake hawajui asili yake kwa nini watu walikuwa wanangangania arudishwe bongo?

Mnapigania maiti irudishwe bngo wakati angekuwa mzima mngemnyima uraia?

Mimi nawaasa tu jamaa zangu wabeba boksi, mkiwa huku nje muwe mnakumbuka nyumbani, msisahau kwenu na mhakikishe hata watoto wenu mliozaa na vishoka wanakwenda home waumwe na mbu kidogo ili wajue wazazi walitokea wapi.

Pia jamaa yangu Le mutuz acha kutulaumu, sisi hata hatujui jamaa katokea wapi ulitaka tuchange hela apelekwe wapi? Unaweza kwenda kuzika mtu Tanga kumbe katokea Angola, huoni kama ni dhambi hapo?

Kama mimi mwongo naomba kama kuna mtu anaemfahamu hata ndugu mmoja tu wa marehemu ajitokeze hapa
 
Duh wakuu hivi bado ni busara kuanza kuongelea marehemu kiasi hiki... ? Tunaleta Siasa hadi kwenye Misiba ?, kama mliambiwa usd 6000 zingetosha basi wale waliowaambia zinatosha walijua wanafanya nini, sidhani kama ni busara kuendelea kuhoji mambo ambayo yakawa perceived vibaya kwa marehemu
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, Le mutuz ameshikilia bango suala la mbongo kuchomwa moto Marekani baada ya kukosekana dola $6,000. Lakini nataka niwaulize mnaotukosoa, JE MNAMFAHAMU MARAEHEMU?, MNAWAFAHAMU NDUGU ZAKE?

Katika pitia pitia kwenye mitandao na baada ya kuongea na wabongo wawili watatu walioko boksi la US nimegundua kuwa jamaa hakuwa karibu na ndugu zake na hajawahi kanyaga Bongo miaka thelasini. Tunaambiwa kuwa hata mke na watoto wake hawajui jamaa alitokea wapi.

Sasa kama hata mke na watoto wake hawajui asili yake kwa nini watu walikuwa wanangangania arudishwe bongo?

Mnapigania maiti irudishwe bngo wakati angekuwa mzima mngemnyima uraia?

Mimi nawaasa tu jamaa zangu wabeba boksi, mkiwa huku nje muwe mnakumbuka nyumbani, msisahau kwenu na mhakikishe hata watoto wenu mliozaa na vishoka wanakwenda home waumwe na mbu kidogo ili wajue wazazi walitokea wapi.

Pia jamaa yangu Le mutuz acha kutulaumu, sisi hata hatujui jamaa katokea wapi ulitaka tuchange hela apelekwe wapi? Unaweza kwenda kuzika mtu Tanga kumbe katokea Angola, huoni kama ni dhambi hapo?

Kama mimi mwongo naomba kama kuna mtu anaemfahamu hata ndugu mmoja tu wa marehemu ajitokeze hapa

yaani wee jamaa noma sana yani, kumbe mkifia huko mchomwe moto kwa sababu tunawanyima uraia? any way, its a lesson kwenu na kwetu, kuna mahali umeongea point kuna mahali umedoda, ndio mana tunasema unang'ata na kupuliza
 
Sasa kama hata mke na watoto wake hawajui asili yake kwa nini watu walikuwa wanangangania arudishwe bongo?

Mnapigania maiti irudishwe bngo wakati angekuwa mzima mngemnyima uraia?

Watu tuna matatizo ya kusoma na kuelewa!

Zile dola 6,000 hazikuwa kwa ajili ya marehemu kurudishwa Tanzania.

Zilikuwa ni kwa ajili ya marehemu kuzikwa mazishi ya kawaida huko huko Madison, WI, na si kuuchoma moto mwili wake.

Kusafirisha maiti kutoka Marekani kwenda Tanzania ni zaidi ya dola 6,000.

Sasa sijui kwa nini watu mnadhani kuwa hizo pesa zingekuwa ni za kuusafirisha mwili wake hadi Tanzania.
 
Mkuu tatizo jamaa wanatushikia bango kluwa tumeshindwa kutoa hela wakati wenyewe wanajua hata ukiwa bongo kama aukijitenga na jumuia itakutenga.

Kama huendi misibani nao hawatakuja

Kama hutoi michango na wao hawatachanga.

Mimi hapo nawajibu watu kama Lemutuz wanaosema tunatia aibu kwa kushindwa kutoa hizo hela.#
 
Nadhani wewe umetoa ufafanuzi mzuri zaidi katika sakata hili. Watu walipaswa kujadili kuanzia hapo ulipofafanua.
 
Uzikwe Tanzania au US bado haibadilishi uhalisia kuwa umezikwa, jambo la muhimu ni kama marehemu alihifadhiwa kaburini kwa stahili zote zenye kuzingatia ubinadamu
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, Le mutuz ameshikilia bango suala la mbongo kuchomwa moto Marekani baada ya kukosekana dola $6,000. Lakini nataka niwaulize mnaotukosoa, JE MNAMFAHAMU MARAEHEMU?, MNAWAFAHAMU NDUGU ZAKE?

Katika pitia pitia kwenye mitandao na baada ya kuongea na wabongo wawili watatu walioko boksi la US nimegundua kuwa jamaa hakuwa karibu na ndugu zake na hajawahi kanyaga Bongo miaka thelasini. Tunaambiwa kuwa hata mke na watoto wake hawajui jamaa alitokea wapi.

Sasa kama hata mke na watoto wake hawajui asili yake kwa nini watu walikuwa wanangangania arudishwe bongo?

Mnapigania maiti irudishwe bngo wakati angekuwa mzima mngemnyima uraia?

Mimi nawaasa tu jamaa zangu wabeba boksi, mkiwa huku nje muwe mnakumbuka nyumbani, msisahau kwenu na mhakikishe hata watoto wenu mliozaa na vishoka wanakwenda home waumwe na mbu kidogo ili wajue wazazi walitokea wapi.

Pia jamaa yangu Le mutuz acha kutulaumu, sisi hata hatujui jamaa katokea wapi ulitaka tuchange hela apelekwe wapi? Unaweza kwenda kuzika mtu Tanga kumbe katokea Angola, huoni kama ni dhambi hapo?

Kama mimi mwongo naomba kama kuna mtu anaemfahamu hata ndugu mmoja tu wa marehemu ajitokeze hapa
Mkuu hilo jina Lukindo jina kubwa, kuzikwa yes!
Kuchomwa moto noma!
 
Kama ni hivyo sijui ni kitu gani kinachowatambulisha kama watanzania mkiwa huko baada ya kuukana uraia wa watanzania. Au ni suala la kusema tu mimi ni mtanzania basi? Ni sawa, tofauti na nchi nyingine Tz tumejitahidi kuuweka ukabila pembeni. Lakini muda wote mliishi naye hakuna anayejua alikuwa alikuwa kabila gani? Sio kwamba nawalaumu maana hata mkewe na watoto hawajui alitoka sehemu gani Tanzania - hapo ndio kwenye tatizo kubwa.

Uraia mtaupata au tuseme mtarudishiwa muwe na subira!
 
Mkuu lets call a spade a spade sio sepeto au chepeo.

Kosa ni la marehemu, hakuwa karibu na ndugu zake, na ndio maana hata mke na watoto wake hawajui alitokea wapi

Tunaambiwa kuwa mtoto wake wa kwanza alizaliwa 1989 which means ana umri wa miaka 25 sasa, umri tosha kuhoji baba ulitokea wapi?

Pia mwanamke anaishi na mtu miaka yote bila kujua mzee katokea wapi?

SOMETHING FISHY HERE....?????
 
Mkuu tatizo jamaa wanatushikia bango kluwa tumeshindwa kutoa hela wakati wenyewe wanajua hata ukiwa bongo kama aukijitenga na jumuia itakutenga.

Kama huendi misibani nao hawatakuja

Kama hutoi michango na wao hawatachanga.

Mimi hapo nawajibu watu kama Lemutuz wanaosema tunatia aibu kwa kushindwa kutoa hizo hela.#

Hao wanaoshika bango wana matatizo yao binafsi tu.

Lakini pia, lazima tuiweke rekodi sawa.

Kama pesa hazikuwa ni kwa ajili ya kuusafirisha mwili kutoka Madison, WI kwenda Tanzania basi na isemwe hivyo.

Le Mutuz kachemsha tokea mwanzo. Hakuusoma vizuri huo ujumbe wa wanajumuiya ya Madison na matokeo yake ndo kuanzisha uzi unaopotosha kwa kiasi fulani.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, Le mutuz ameshikilia bango suala la mbongo kuchomwa moto Marekani baada ya kukosekana dola $6,000. Lakini nataka niwaulize mnaotukosoa, JE MNAMFAHAMU MARAEHEMU?, MNAWAFAHAMU NDUGU ZAKE?

Katika pitia pitia kwenye mitandao na baada ya kuongea na wabongo wawili watatu walioko boksi la US nimegundua kuwa jamaa hakuwa karibu na ndugu zake na hajawahi kanyaga Bongo miaka thelasini. Tunaambiwa kuwa hata mke na watoto wake hawajui jamaa alitokea wapi.

Sasa kama hata mke na watoto wake hawajui asili yake kwa nini watu walikuwa wanangangania arudishwe bongo?

Mnapigania maiti irudishwe bngo wakati angekuwa mzima mngemnyima uraia?

Mimi nawaasa tu jamaa zangu wabeba boksi, mkiwa huku nje muwe mnakumbuka nyumbani, msisahau kwenu na mhakikishe hata watoto wenu mliozaa na vishoka wanakwenda home waumwe na mbu kidogo ili wajue wazazi walitokea wapi.

Pia jamaa yangu Le mutuz acha kutulaumu, sisi hata hatujui jamaa katokea wapi ulitaka tuchange hela apelekwe wapi? Unaweza kwenda kuzika mtu Tanga kumbe katokea Angola, huoni kama ni dhambi hapo?

Kama mimi mwongo naomba kama kuna mtu anaemfahamu hata ndugu mmoja tu wa marehemu ajitokeze hapa
Nilipoweka bold na red mark hapo bwana chilisosi umenena sana wee huyo jamaa hata Tanzania alishaisahau ni kwamba kule walimbania tuu hata uraia angekuwa nao tayari.Sasa huku bongo angezikwa wapi kwa mfano kashushwa pale JK International airport tungempeleka ujiji kumbe mdengereko.Wabeba maboski mjipange sio mnakaa huko kimbulula tuu mtazikwa kama kuku ya midondo chezea kwa watu.
Sisi tunazisoma kama hbr za mtu kafumaniwa na OFM tu hatuna muda
 
Back
Top Bottom