RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,861
- 2,754
Kama mkewe hajui mumewe ametoka bongo pande gani basi yawezekana si mbongo! ... Mke ana kesi nzito ya kujibu kama ingekuwa jamaa ametoka kwenye ukoo wetu ... Binafsi siamini kuwa eti jamaa hana ndugu ndani ya bongo! Huku kwetu hata kama hukulelewa kwetu lakini tukigundua kuwa wewe ni damu yetu lazima tutakuzika tu! Kwanini hawakutangaza kwenye media za kibongo waone kama ndugu zake wasinge jitokeza....