Mtanzania akamatwa uholanzi

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Habari zilizonifikia sasa hivi zinasema mtanzania mmoja jina sijafanikiwa kulipata anashikiliwa na mamlaka za uwanja wa ndege wa amsterdam nchini uholanzi kwa tuhuma za kutengeneza tiketi bandia za kusafiria

mtanzania huyo wa makamo ya kati mwenye familia yake hapa dar es salaam amekuwa anatafutwa na mamlaka nyingi za uwanja wa ndege kwa biashara zake hizo za kuuza tiketi bandia watu pamoja na yeye mwenyewe kuzitumia

taarifa zinasema ametakiwa alipe gharama fulani ili aweze kupewa dhamana huko huko uholanzi ili apelekwe katika nchi zingine anazotafutwa kwa tuhuma hizo hizo
 
sasa ya nini kama unaandika wakati humjui hata jina la kampuni yake??
na wee mbona ni kinara wa kuuza laptop za wizi!
 
sasa ya nini kama unaandika wakati humjui hata jina la kampuni yake??
na wee mbona ni kinara wa kuuza laptop za wizi!

Majina si lazima sana kama ukipata clue ni meseji tosha, mathalani ukiambiwa jihadhari na matapeli sidhani kama utataka jina fulani hapo bali utakuwa mwangalifu kwa kila mtu. Habari ndiyo hiyooooo
 
Back
Top Bottom