Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Weka Source ya hii habari
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi, Ni mkaazi wa Mzanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi, Ni mkaazi wa Mzanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo
Tanzania mbona hatuwanyongi au ni kwa vile ni biashara za wakubwa? Watoto wetu wameharibika mno. Imagine boarding schools mnapeleka watoto kuanzia primary ni balaa kule, madawa, kulawitiana ni order of the day. Lakini pia huwa najiuliza ni kwa nini mzazi umpelekee mwanao shule tangu chkechea boarding? Wanangu wote walisoma day school hadi primary na secondary ndiyo boarding at ther 13th. Sasa wewe mwanao 3 yrs unamtoa nyumbani hajui hata pendo la mama. Ukiwatelekeza watoto bila sababu ya msingi jua wanakosa malezi na upendo (parental care and love) mwishowe watatafuta upendo na care nyingine toka kwa makundi na mwishowe wataishia kuwa mabahasha na containers wa dawa za kulenvya.
Yericko kwani tz na china si wamekubaliana wasinyonge? Au walishavunja mkataba? Zuberi imekula kwake kama yule m-south walimnyonga miezi ya nyuma!
Serikali ya Wasanii na wachina feki ndio waliosaini! Sheria ya china ipo palepale! Juhudi za kumnusuru zinahitajika!