Mtanzania akamatwa na unga China ananyongwa J'nne

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi Mussa, Ni mkaazi wa Zanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo
 
Yericko kwani tz na china si wamekubaliana wasinyonge? Au walishavunja mkataba? Zuberi imekula kwake kama yule m-south walimnyonga miezi ya nyuma!
 
Tanzania mbona hatuwanyongi au ni kwa vile ni biashara za wakubwa? Watoto wetu wameharibika mno. Imagine boarding schools mnapeleka watoto kuanzia primary ni balaa kule, madawa, kulawitiana ni order of the day. Lakini pia huwa najiuliza ni kwa nini mzazi umpelekee mwanao shule tangu chkechea boarding? Wanangu wote walisoma day school hadi primary na secondary ndiyo boarding at ther 13th. Sasa wewe mwanao 3 yrs unamtoa nyumbani hajui hata pendo la mama. Ukiwatelekeza watoto bila sababu ya msingi jua wanakosa malezi na upendo (parental care and love) mwishowe watatafuta upendo na care nyingine toka kwa makundi na mwishowe wataishia kuwa mabahasha na containers wa dawa za kulenvya.
 
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi, Ni mkaazi wa Mzanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo

Kukausha mizizi ya mti na kishina chake inawezekana kwa kukata matawi na kuweka chumvi juu yake.
 
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi, Ni mkaazi wa Mzanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo

Ukienda nchi za watu, uwe umetumwa au umejiendea mwenyewe, unatakiwa ufuate sheria. Na sheria za kila nchi zinaainisha makosa mbalimbali na adhabu zake. Huyu Jamaa alijua kuwa kule ni China, sio Zanzibar au Kigoma.

Amepata anachostahili.
"He had got it coming"!!!
 
HEHEHEHEHEHE

The Chinese masses applaud giving the death penalty to drug traffickers," said Yang Fengrui, deputy secretary general of the National Narcotics Control Commission. "Drug trafficking has severe social consequences. It's equal to killing people." While the government hopes to "rehabilitate" drug users so they can "return to society," Yang elaborated, it is fully prepared to enact "severe punishment" for criminals.

_48829659_mx7beyyf.gif

unachezea uchina wewe
tuichezee Tanzania na sio uchina
kaka yeriko huyo hana msaada wowote ule,tena ktk hilo wachina hawana muda wa kumsikiliza yeyote yule awe raisi wala haki za binadamu,huyo imekula kwake asubiri sindano ya sumu na majivu yataletwa tanzania

tungefuata sheria za uchina,wala usingesika madawa yakisambaa tanzania

"
 
Tanzania mbona hatuwanyongi au ni kwa vile ni biashara za wakubwa? Watoto wetu wameharibika mno. Imagine boarding schools mnapeleka watoto kuanzia primary ni balaa kule, madawa, kulawitiana ni order of the day. Lakini pia huwa najiuliza ni kwa nini mzazi umpelekee mwanao shule tangu chkechea boarding? Wanangu wote walisoma day school hadi primary na secondary ndiyo boarding at ther 13th. Sasa wewe mwanao 3 yrs unamtoa nyumbani hajui hata pendo la mama. Ukiwatelekeza watoto bila sababu ya msingi jua wanakosa malezi na upendo (parental care and love) mwishowe watatafuta upendo na care nyingine toka kwa makundi na mwishowe wataishia kuwa mabahasha na containers wa dawa za kulenvya.

The Chinese masses applaud giving the death penalty to drug traffickers," said Yang Fengrui, deputy secretary general of the National Narcotics Control Commission. "Drug trafficking has severe social consequences. It's equal to killing people." While the government hopes to "rehabilitate" drug users so they can "return to society," Yang elaborated, it is fully prepared to enact "severe punishment" for criminals.
 
Yericko kwani tz na china si wamekubaliana wasinyonge? Au walishavunja mkataba? Zuberi imekula kwake kama yule m-south walimnyonga miezi ya nyuma!

Serikali ya Wasanii na wachina feki ndio waliosaini! Sheria ya china ipo palepale! Juhudi za kumnusuru zinahitajika!
 
YERICKO

Unajidanganya,umezoea Tanzania kuwa tutayaongea na yataisha,china hiyo haipo,nakueleza haipo na haiwezi tokea hata aende obama,

wanamsemo wao kuwa " NO WAY OUT"

soma hapa chini

China has executed a South African woman for drug smuggling, rejecting an appeal by President Jacob Zuma to spare her life, an official says.
 
No way out lazima tuheshimu sheria tunaishi kwa sheria kila mahali ni kujifunza na kujipanga pole kwa familia ubalozi uangalie kama kuna namna money inaweza nunua sheria sisi tunajisumbua hapa wenye mali watafanya namna tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom