Mtani wangu LoyalTzCitizen

pona nini paka........?.......solola bien na invii akuhelp......no photo
 
hehehe waswahili waliniloga bana! najaribu kurejesha ka memori , hivi si haka kaJF kalikuwa na chatrum au?

kalikuwepo....invii akaona watu wanafanya tabia mbaya akakatoa.....he he.....hivi kwa nini walikuloga.....watu bana
 
kalikuwepo....invii akaona watu wanafanya tabia mbaya akakatoa.....he he.....hivi kwa nini walikuloga.....watu bana

dah invi bana! itakuwa kuna jamaa katumia chatrum kuiba mali za invi ,hehehe waliniloga kwasababu naquote ma post yako, waswahili mawivu kichizi.

posted via simu ya kuazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…