Mtani wangu LoyalTzCitizen

Lol!Aaah! Paka ananichokoza naona! sasa hata picha hajaweka!:angry:





Mtani unasahau kuwa ulikataa kutoka kwenye picha kama kakakuona wenu bahati nzuri wakati naondoka nikakutana na shemeji anatoka mashineni kusaga unga wa kutengenezea pombe na vidumu keshatayarisha.
 
HEE!!!!!! Na shemeji naye kagoma kutokea basi naacha nimekubali watani mmenizidi uchawi.
 
Back
Top Bottom