St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,589
- 4,423
Hapa anakwenda kuongezea gesi na usafiri wake wa karne ya 21.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka vipi tenaaaaaaa
pona nini paka........?.......solola bien na invii akuhelp......no photo
hehehe gud moning? haujambo ww? mbona nguo umeuza?
" bado mi nangoja ageuke"
e e e e e...wewe......hivi ni nini lakini.......kwa nini unifanyie hivyo?
Paka vipi tenaaaaaaa
hehehe waswahili waliniloga bana! najaribu kurejesha ka memori , hivi si haka kaJF kalikuwa na chatrum au?
kalikuwepo....invii akaona watu wanafanya tabia mbaya akakatoa.....he he.....hivi kwa nini walikuloga.....watu bana
Hapa anakwenda kuongezea gesi na usafiri wake wa karne ya 21.
umenichanganya lol
ngoja nika nunue miwani ya kusomea...