X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,974
- 17,073
Hakika tusimame nae kwa kumkana, haya si maneno yetu kama watanzania, akiwa kama mwakilishi wa wananchi wa Tanzania sisi hatujamtuma haya, bali huo ni msimamo wake na jinsi anavyoamini katika falsafa yake ya uongozi, hata,Huyu mtangazaji wa Kenya, anamuita rais wetu Bi Msumi!,
Kisha anasema mwanamke anapoongelea mikwaju anaeleweka, huku akionyeshea mikwaju hiyo kwa ishara ya mkono!.
Watanzania Wazalendo tusikubali udhalilishaji huu wa viongozi wetu na media za jirani!.
Niliwahi kuandika humu na kuuliza kuhusu Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Tusikubali!.
P
Ruto anaelekea kwenye uchaguzi, lazima he was so surprised na hizi remarks, na kuzi endorse kwenye taifa kubwa na linalojielewa kama KE, ni sawa na kujichimbia kaburi la kisiasa.