Watu mko updatedYawezekana japo ninavyojua anasuguliwa vilivyo kabisa na Waziri Mmoja wa Magufuli ambaye alifiwa na Mkewe na Kamjengea Changanyikeni.
Waziri aliyepewa sumu enzi za JK au siyo! Wadau mna nyeti balaa!! Lakini tuliambiwa na kipande cha mti,kua Waziri ni grid ya taifa!!!
😢😢😢ðŸ˜ðŸ˜Ila acheni tu huyo Dada Leo awe na Maisha mazuri na Kutiwa ( Kunyiriwa ) hivyo na huyo Waziri kwani nikiweka hapa Historia yake wengi mtalia.
hebu iweke tuone kama tutaliaIla acheni tu huyo Dada Leo awe na Maisha mazuri na Kutiwa ( Kunyiriwa ) hivyo na huyo Waziri kwani nikiweka hapa Historia yake wengi mtalia.
Mzee wa degree 4 hivi hana ngoma kweli yuleTunaompenda huyo Binti ( Dada ) tulipoona tu huyo Waziri anamtaka tulimshika Masikio asiwe nae ila akatudharau na sasa ameshayavagaa mno.
Mara nyingine unakuta wamezoeana Hadi kubadilishana mawasiliano binafsi ukiachana na Ile namba inayotumika na public hivyo ni rahisi ujumbe wake kuonekana kuliko wale wanaotumia namba ya public.Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.
Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.
Kama sikosei.
Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.
Kabisa afu Kuna kata mwivi lwambano wa chabela camp dodoma ..dah yani jamaa walikua kila dayWajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyu😂
Mpaka Sasa bado ana Hali Mbaya SanaIla acheni tu huyo Dada Leo awe na Maisha mazuri na Kutiwa ( Kunyiriwa ) hivyo na huyo Waziri kwani nikiweka hapa Historia yake wengi mtalia.
ARV zinawanyanyua sanaWaziri aliyepewa sumu enzi za JK au siyo! Wadau mna nyeti balaa!! Lakini tuliambiwa na kipande cha mti,kua Waziri ni grid ya taifa!!!
Unauliza nyege Segerea?Mzee wa degree 4 hivi hana ngoma kweli yule
Miaka ya nyuma nikiwa Arusha, radio sauti ya injili walikuwa wanapenda kumtaja mzee zakaria ndemfoo, ino wa ino, David Urassa, na mathayo shoo hayo yalikua majina makuu , kwahiyo simshangai PriscaYaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!
Ila acheni tu huyo Dada Leo awe na Maisha mazuri na Kutiwa ( Kunyiriwa ) hivyo na huyo Waziri kwani nikiweka hapa Historia yake wengi mtalia.
Au kulikuwa kuna mtu anajiita Wajada fundi Wajadi Binadamu Mashaka.Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.
Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.
Kama sikosei.
Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.