Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.

Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.

Kama sikosei.

Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.

:)
Mara nyingine unakuta wamezoeana Hadi kubadilishana mawasiliano binafsi ukiachana na Ile namba inayotumika na public hivyo ni rahisi ujumbe wake kuonekana kuliko wale wanaotumia namba ya public.
 
Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo Msikilizaji wako pekee kiasi kwamba kila Siku lazima umsome Yeye tu? Unatuboa!
Miaka ya nyuma nikiwa Arusha, radio sauti ya injili walikuwa wanapenda kumtaja mzee zakaria ndemfoo, ino wa ino, David Urassa, na mathayo shoo hayo yalikua majina makuu , kwahiyo simshangai Prisca
 
Huyo hutuma ujumbe mapema kabla ya wote.

Umenikumbusha zamani RTD kwenye kipindi cha mchana mwema ilikuwa ni lazima barua ya kwanza kusomwa Aloyisia Maneno iwe ni ya Mayage S Mayage wa Mauta Newala.

Kama sikosei.

Prisca anapenda ushiriki wa wasikilizaji wa mbali.

:)
Au kulikuwa kuna mtu anajiita Wajada fundi Wajadi Binadamu Mashaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom