Mtangazaji wa ITV kutoka Bungeni hajitambui

Hapa hapa jf au kati ya watu unao jibizana nao kati yao wapo kwenye hiyo cc ya cdm .
Wanajua nini kitawatokea hao covid na siyo siri hawana tena nafasi ndani ya cdm.
Hata kama watakuwa wanatumia fedha zao kuwahonga watu wawatetee haita wasaidia.
Then, tusiandikie mate...
P
 
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa uanachama na chadema eti ni wabunge wa chadema.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajili wake amuwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
Kisa halipo kwa mtangazaji, unazani ungekuwa wewe ungesema ni wabunge kupitia chama kipi ihali wapo bungeni?.
Mtake radhi kapalatu
 
Mahusiano baina ya watu ni right to privacy, sihitaji kuwataja ila wana Chadema wa ukweli wanajua jinsi wabunge wa viti maalum Chadema, wanavyopatikana!. Kuna wake za watu, wapenzi wa watu, hadi vidumu vya hao hao wajumbe wa CC. Wewe subiria tuu uamuzi wa vikao vya juu vikiisha wasamehe ndipo utaelewa naema nini humu!.
P

Umenikata maini hasa nikiangalia chapuo waliyompigia Dr Hosea kwenye uchaguzi wa TLS inawezekana ukawa mrithi asiye na mpinzani wa sheikh Yahya, ngoja tuone kama kweli watasamehewa basi bora tugawane fito
 
Pole, ile kitu ni habari nyingine, alishindwa Samson na miguvu yake yote, mbele ya Delilah kwisha habari yake!, watakua hao CC ya Chadema?.
P
 
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa Uanachama na chadema eti ni wabunge wa CHADEMA.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajiri wake amiwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
Mpeni stop order ya mahakama ili asiwatambulishe kama Wabunge wa Chadema. Bila hivyo, hao ni Wabunge wa Chadema whether mnaumia au la!
 
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa Uanachama na chadema eti ni wabunge wa CHADEMA.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajiri wake amiwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
Kwani huyo mtangazaji anaripoti habari za Chadema au anaripoti habari za Bunge? Juma Kapalatu yuko sahihi maana Bunge halijatamka kwamba hao Wabunge 19 wa Chadema wametimuliwa uanachama
 
Tushamaliza kazi tayari karudishwa na hii ndiyo nguvu ya mitandao ya jamii.
 
Pole, ile kitu ni habari nyingine, alishindwa Samson na miguvu yake yote, mbele ya Delilah kwisha habari yake!, watakua hao CC ya Chadema?.
P
Pole sana Pascally naona bado unatafuta ni gia ipi inakufaa kuingia nayo kwenye hii awamu ya 6.
 
Back
Top Bottom