Mtangazaji wa EFM Twalib Muwa: Simba SC kuishinda Al Ahly labda ishinde Njaa tu

Tangu umejua kutumia smartphone tena hizi za mkopo kwa siku unalipishwa shilling 800 , tunajuta JF zamani haikuwa hivi
20231005_114004.jpg
 
Sina ru Degree ya SAUT Mwanza bali nina Masters pia ya SAUT na niko mbioni sasa kuanza Doctorate Program yangu. SAUT na Mimi na Mimi na SAUT daima.

Haya njoo tena la lingine Juha Wewe.
Ningekuona wamaana kama ungekuja kuwasema wachambuzi wengine wa mchongo kama wakina Jemedari, yule Twiga na yule mwny mdomo kama chuchunge, yaani ww unatafuta wanaoikosoa Simba tu.
 
Na tayari ameshatumiwa huu Uzi wangu katika Kundi lao la WhatsApp na nasikia kawa Mpole na GENTAMYCINE namuonya awe Mpole hivyo hivyo kwani niliyoyaelezea hapa ya Kumhusu hata 50% bado hayajafika na mengine nimeyahifadhi.
Huyu bwege kwa sababu kauanzisha huu mpambano kama walivyoanzisha Hamas usimbakishe hata kiduchu iwe fundisho kwa wapuuzi wengine wasiozingatia maadili ya taaluma zao,mpe haki yake.
 
Siku hizi kuna waandishi wengi uchwara. Hawafati miiko ya uandishi hata kidogo.

Ukiondoa jamaa kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwa timu, ni watangazaji wengi tu wanaoharibu taswira halisi ya uandishi wa habari. Ndo maana wengi wanaona kuwa mtangazaji ni kama umekoswa cha kujifunza na kuamua kwenda hiyo kozi.

Huko kwenye vipindi hata hao Meneja Vipindi (PM) usimamizi wao umekuwa mbovu (na kujuana kukiwemo), ukajanja umekuwa mwingi.
 
Huyu bwege kwa sababu kauanzisha huu mpambano kama walivyoanzisha Hamas usimbakishe hata kiduchu iwe fundisho kwa wapuuzi wengine wasiozingatia maadili ya taaluma zao,mpe haki yake.
Nimeshamnyoosha tayari na huko WhatsApp Kwao sasa Moto mkubwa unawaka huku akiwa Mpole tu Kudadadeki zake.

Hoja yangu Kuu ieleweke kuwa sikatai kuwa Simba SC inaweza Kufungwa na Al Ahly SC kama ambavyo hata Wao Al Ahly SC nao wanaweza Kufungwa na Simba SC ila ni Kitendo cha a Professional Journalist ( tena anayefahamu Ethics zote ) kwenda Hewani ( akiwa Hewani Kipindini Redioni ) kuonyesha Mahaba yake kwa Timu yake pendwa ya Yanga SC huku akiikandamiza na akiichafua Simba SC huku akijua fika kuwa anafanya Kosa Kubwa na ambao Kitaalam linaweza pia Kuiathiri Kimasoko Redio yake ( yao ) ya EFM na ikapoteza hata Wateja ( Advertisers ) ambao labda ni Mashabiki wa Simba SC na Kuikosesha Kipato ( Income ) Media yao tukiamini na ikijulikana pia kuwa Uti wa Mgongo wa Kiuchumi wa Media zote za Kibiashara ni Mnatangazo ya Biashara na huwezi kupata Mnatangazo mengi kama hauna Uhusiano bora na mwema na Wadau wako.
 
@Moderator huyu jamaa atakua ana dhalilisha watu hadi lini mbona mnamuendekeza?
Kumpa Mtu makavu yake mubashara ni Kumdhalilisha? Kipimo chako kuwa huu Uzi wangu nimemdhalilisha huyo Mtangazaji mwana Yanga SC Mwenzako Twalib Othman Muwa ni Kipi?

Wana Yanga SC kipindi kile Mchezaji Bernard Morisson alipokuwa Simba SC na mkawa mnamsema kuwa ana Busha mlikuwa hamumdhalilishi? Ulipaza hapa hii Sauti yako?

Wana Yanga SC wakati Mchezaji Jonas Gerald Mkude alipokuwa Simba SC na mkawa mnamsema hapa hapa JamiiForums kuwa ni Mlevi na Mbwia Unga ule Kwako / Kwenu haukuwa ni Udhalilishaji Kwake? Je, uliwaita Moderators wawachukulie hatua wale Waanzisha Threads zile ambao walikuwa ni wana Yanga SC Wenzako?

Huna Akili.
 
Back
Top Bottom