Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

Katika hali ya kuonyesha kuwa ni mwenye dharau na asiye na huruma na Watanzania wasomi ambao kila uchao wanahangaika kutafuta Ajira kutokana na mfumo mbovu na mazingira yaliyopo na bado mpaka leo hawajafanikiwa Mtangazaji wa Clouds tv 360 Hassan Ngoma akizungumza tena bila aibu na akiwa mkavu kabisa na akili timamu amewataka wale Wasomi wote wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo nchini Tanzania ( HESLB ) kuanza kutembea popote katika miji yao walipo wauze Ice Cream katika Ofisi mbalimbali ili waweze kupata Pesa ya kulipia madeni yao wanayodaiwa.

Niwe wa kwanza kutaka kumwomba huyu Mtangazaji Hassan Ngoma awaombe radhi haraka sana Wadaiwa wa HESLB kwani nina uhakika kuwa hata alivyokuwa anayasema haya maneno hakuwa akitania bali alikuwa anamaanisha kitendo ambacho hadi Watangazaji wenzake Babie Kabae na Sam Sasali wakawa wanamshangaa.

Kuna wale vimbelembele ambao hudhani kuwa huwa nakurupuka tu kuwasema Watu humu hivyo kwa mnaotaka kujionea alichokisema bahati nzuri Clouds tv 360 Vipindi vyao huwa vipo Youtube hivyo kitafuteni Kipindi cha leo ili mjionee hizo dharau za wazi wazi alizozifanya Mtangazaji Hassan Ngoma kwa Wadaiwa sugu wa HESLB.

Kuwaambia Watu tena Wasomi ambao wanahangaika kutwa kutafuta ajira kuwa Watembeze Ice Cream ili waweze kulipia Madeni yao HESLB ni dharau kubwa, kali na isiyovumilika na ambayo imetolewa na Mtu ambaye tulidhani ndiyo angekuwa mfano mwema katika Jamii yetu kumbe ndiyo Kiongozi wa kuwadhihaki Wasomi Wadaiwa wa Bodi ya Mikopo.
sasa ww ultaka asemeje kama wanadaiwa nahawalp
 
Mpaka sasa na muda huu HESLB wananidai 26M. Hizi pesa nataka wavue masharti yao waingie barabarani kunitafuta kama tulivokuwa tunadai sisi. Ilikuwa unatoka pale udsm kwa maandamano kuelekea ofisi za bodi na hapo polisi wamejaa na mabunduki yao utadhani tulikuwa majambazi. Wacha waisome namba. Na silipi Leo au kesho. Na huyo Hassan Ngoma naona akili yake imejaa matope tupu. Nyambafu.
 
Hawa watangazaji wengi ni weupe sana kichwani

Elimu yao ya kuunga unga ndio wanataka kuitumua kutafuta sifa

Niliapa sitalipa deni la chuo labda wanifate nje kwa jinsi nilivyo angaika pale Udsm kuandamana kutafuta huo mkopa

Wakati wanaodai pesa kwa nguvu wanapunguza watu wa kuwakopesha kila siku,bora hata idadi ya wakopeshwaji ingeongezeka kuliko kupungua ningelipa.
ww ulitaka asemeje?
 
Katika hali ya kuonyesha kuwa ni mwenye dharau na asiye na huruma na Watanzania wasomi ambao kila uchao wanahangaika kutafuta Ajira kutokana na mfumo mbovu na mazingira yaliyopo na bado mpaka leo hawajafanikiwa Mtangazaji wa Clouds tv 360 Hassan Ngoma akizungumza tena bila aibu na akiwa mkavu kabisa na akili timamu amewataka wale Wasomi wote wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo nchini Tanzania ( HESLB ) kuanza kutembea popote katika miji yao walipo wauze Ice Cream katika Ofisi mbalimbali ili waweze kupata Pesa ya kulipia madeni yao wanayodaiwa.

Niwe wa kwanza kutaka kumwomba huyu Mtangazaji Hassan Ngoma awaombe radhi haraka sana Wadaiwa wa HESLB kwani nina uhakika kuwa hata alivyokuwa anayasema haya maneno hakuwa akitania bali alikuwa anamaanisha kitendo ambacho hadi Watangazaji wenzake Babie Kabae na Sam Sasali wakawa wanamshangaa.

Kuna wale vimbelembele ambao hudhani kuwa huwa nakurupuka tu kuwasema Watu humu hivyo kwa mnaotaka kujionea alichokisema bahati nzuri Clouds tv 360 Vipindi vyao huwa vipo Youtube hivyo kitafuteni Kipindi cha leo ili mjionee hizo dharau za wazi wazi alizozifanya Mtangazaji Hassan Ngoma kwa Wadaiwa sugu wa HESLB.

Kuwaambia Watu tena Wasomi ambao wanahangaika kutwa kutafuta ajira kuwa Watembeze Ice Cream ili waweze kulipia Madeni yao HESLB ni dharau kubwa, kali na isiyovumilika na ambayo imetolewa na Mtu ambaye tulidhani ndiyo angekuwa mfano mwema katika Jamii yetu kumbe ndiyo Kiongozi wa kuwadhihaki Wasomi Wadaiwa wa Bodi ya Mikopo.
Sio kosa lake ni elimu yake, certificate ya uandishi hiyo, na IQ yake ipo chini sana
 
Ukiona hivyo ni form four failure na kasoma zoom college ,badala alete hoja au amwalike mchuni au mwanasheria afafanue zaidi anatoa maneno mepesi!

Halafu huwezi amini kuba B.o.y.a. mmoja hapo juu kamtetea juu ya hicho alichokisema Mtangazaji Hassan Ngoma na kututaka tuache ujinga na yeye aka cement hapo hapo kuwataka Wasomi Wadaiwa wa HESLB wakauze Ice Cream ili walipe madeni yao.
 
Huyu jamaa ni kopo kweli kauli zake hazina mvuto kabisa kufaa kusikilizwa, sijui wamemwokota wapi! Yaani amefanya Clouds 360 inakosa mvuto tena kama zamani
 
Kwani alicho sema cha ajabu hapo nin...ukidaiwa unatakiwa ulipe na anaekudai hapaswi kujua unatoa wapi pesa ya kumlipa...kwa hiyo kwan kuuza ice cream ni kosa...hapa ndo unaona hata wew ulivo mweupe kichwan...kazi ni kazi...kinachotakiwa ni walipe madeni...tena kawashauri vizr sana

Kuna Mpumbavu mwenzio hapo juu nimemjibu kwa kauli kama yako hivyo ungana nae katika jibu nililompa tafadhali. Wajinga Wajinga kama nyie mnaojipendekeza na kukurupuka huwa sikosi majibu yenu mujarab kabisa ya kuwapeni na wakati mubashara kabisa.
 
Kwani alicho sema cha ajabu hapo nin...ukidaiwa unatakiwa ulipe na anaekudai hapaswi kujua unatoa wapi pesa ya kumlipa...kwa hiyo kwan kuuza ice cream ni kosa...hapa ndo unaona hata wew ulivo mweupe kichwan...kazi ni kazi...kinachotakiwa ni walipe madeni...tena kawashauri vizr sana
Je kwa kuuza ice cream unaweza maliza deni lako la mkopo? Au zarau tu. Halafu huyu ndugu yako Hassani Ngoma anajilopokeaga tu, mara awakatishe wenzie mara ajifanye kufunga mjadala, mbona wenzie Babie na Sam wapo makini na wana busara sana.
 
Kadhihaki wapi...katoa ushauri....anaeona unafaa afanyie kazi kama haufai apotezee....au na wew ni mdaiwa
ANADHANI KAZI NI KUKAA OFISINI TU NDO MAANA WA DARASA LA 7 WANAWAZIDI MAENDELEO WASOMI WA CHUO KIKUU KWAKUWA HAWAWEZI HATA KUUZA GENGE WAONA WANAZA KUAJIRIWA TU,SASA MTU KATOA MAONI UZA HATA ICE CREAM ILI MRADI DENI LA MKOPO ULILIPE WANAANZA KUWAKA KAMA WENDAWAZIMU
 
Katika hali ya kuonyesha kuwa ni mwenye dharau na asiye na huruma na Watanzania wasomi ambao kila uchao wanahangaika kutafuta Ajira kutokana na mfumo mbovu na mazingira yaliyopo na bado mpaka leo hawajafanikiwa Mtangazaji wa Clouds tv 360 Hassan Ngoma akizungumza tena bila aibu na akiwa mkavu kabisa na akili timamu amewataka wale Wasomi wote wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo nchini Tanzania ( HESLB ) kuanza kutembea popote katika miji yao walipo wauze Ice Cream katika Ofisi mbalimbali ili waweze kupata Pesa ya kulipia madeni yao wanayodaiwa.

Niwe wa kwanza kutaka kumwomba huyu Mtangazaji Hassan Ngoma awaombe radhi haraka sana Wadaiwa wa HESLB kwani nina uhakika kuwa hata alivyokuwa anayasema haya maneno hakuwa akitania bali alikuwa anamaanisha kitendo ambacho hadi Watangazaji wenzake Babie Kabae na Sam Sasali wakawa wanamshangaa.

Kuna wale vimbelembele ambao hudhani kuwa huwa nakurupuka tu kuwasema Watu humu hivyo kwa mnaotaka kujionea alichokisema bahati nzuri Clouds tv 360 Vipindi vyao huwa vipo Youtube hivyo kitafuteni Kipindi cha leo ili mjionee hizo dharau za wazi wazi alizozifanya Mtangazaji Hassan Ngoma kwa Wadaiwa sugu wa HESLB.

Kuwaambia Watu tena Wasomi ambao wanahangaika kutwa kutafuta ajira kuwa Watembeze Ice Cream ili waweze kulipia Madeni yao HESLB ni dharau kubwa, kali na isiyovumilika na ambayo imetolewa na Mtu ambaye tulidhani ndiyo angekuwa mfano mwema katika Jamii yetu kumbe ndiyo Kiongozi wa kuwadhihaki Wasomi Wadaiwa wa Bodi ya Mikopo.
Ndugu, fikiria nje ya box. Ndio msomi akiamua kuuza icream atauza kwa ufanisi mkubwa na ana nafasi ya kukuza ikawa biashara kubwa, akina Bakhresa wameanza hivyo.
Lakini pia mantiki ya Hassan & CO.ilikuwa ni kuwa unaweza kuanza kidogo na ukakuwa.
 
Kadhihaki wapi...katoa ushauri....anaeona unafaa afanyie kazi kama haufai apotezee....au na wew ni mdaiwa

Inadaiwa Serikali itakuwa Mimi GENTAMYCINE? Uliza swali jingine siyo hilo la Kitoto kabisa. Hata Baba yako Mzazi usikute hadi leo anadaiwa na Wakwe zake sehemu ya mwisho ya Mahari aliyotakiwa kutoa kwa Mama yako Mzazi ( mbona hushangai? ), hivyo hakuna Mtanzania asiyedaiwa na hapa tunachokiongelea ni uwasilishaji wa Kauli na Body Language yake. Kumwelewa GENTAMYCINE pia kunataka uwe na IQ iliyotukuka vinginevyo utapata taabu mno na Mimi.
 
Back
Top Bottom